Search results

  1. I

    ACT kumeguka tena

    Wimbi la wanachama waandamizi wanaokihama chama cha ACT WAZALENDO Kwa Siku za karibuni limezidi kuongezeka baada ya muasisi na kiongozi mashuhuri wa chama hicho jimbo la Chalinze mkoa wa Pwani, Mwalimu Gasper Shoo kuamua kurejea CHADEMA. Shoo ambaye hajatangaza rasmi Siku ya kuhamia Chama chake...
  2. I

    Lema, makamba na chikawe waonyesha utovu wa nidhamu bungeni

    Tangu kikao cha leo jioni kianze watu hawa wanapiga makelele tu bungeni. Hawafuatilii bunge, hawafuatilii mjadala. Wanaonekana kupiga stori tu. Januari na Lema ni vijana. Walipaswa wafuatilie huu mjadala na kutoa maoni yao kama vijana. Wao wamekuwa busy kudiskas mambo ya wanawake zao. Na...
  3. I

    Yuko wapi Mheshimiwa dada Mhonga Ruhanywa?

    Binti huyu aliyezaliwa mwaka 1979 amekuwa kimya kwa kipindi kirefu sana. Amekuwa haonekani kwenye public na hata bungeni amekuwa hasikiki wala hana mchango wowote. Huyu ana 'ukaribu' na Zitto, ukaribu ambao naomba nisiseme sana. Muhonga alihusishwa na kutaka kuihujumu chadema akiwa na...
  4. I

    Ridhiwani Kikwete katika kashfa nzito Chalinze

    Ni takriban miezi miwili sasa mji wa Chalinze na viunga vyake vimekosa maji. Kuna tishio kubwa la kulipuka kwa magonjwa ya tumbo, kuhara na kipindupindu. Taarifa za uhakika zilizozagaa hapa Chalinze ni kuwa Ridhiwani Kikwete anahujumu mradi wa maji uliozinduliwa na Rais Benjamin Mkapa wakati...
  5. I

    Watafsiri wa Lugha za alama TBC

    Hivi karibuni kulitokea mvutano Bungeni kati ya Tundu Lissu na Spika wa Bunge.Baada ya mvutano ule Tundu Lissu alianza kuchangia hoja ya Mbatia kuhusu Prof. Lipumba. Siku hiyo nilikuwa nyumbani nilipata wageni mmoja wa wageni hao alikuwa mlemavu wa kutoongea anayeweza kuandika na kutafsiri...
  6. I

    Nailaani serikali inayoongozwa na CCM

    Baba yangu mzazi baada ya kufika hospitali ya Mhimbili yapata miezi mitatu iliyopita aliambiwa kupata huduma aliyoihitaji alipaswa kutoa kiasi cha shilingi laki tisa na ishirini na saba elf(927,000/-. Wahudumu na manesi wakamtoa wodini na kutuamuru tuondoke turudi baada ya kulipa hicho kiwango...
  7. I

    Nahitaji kujua asili ya mpangilio wa kalenda

    Wakuu, Mimi ni mmoja wa wale waliosoma Technical School na baadae DIT na baadae elimu ya juu zaidi katika mambo ya Uhasibu. Sikubahatika kabisa kusoma somo la Geography kwa ngazi ya sekondari maana miaka hiyo Tech school hatukuwa tunasoma Biology, History wala Geography. Hata Physics haikuitwa...
  8. I

    Mwanafunzi wa Kidato cha Tatu akutwa na Risasi sita, Mapanga...

    Kijana wa kiume wa kidato cha tatu katika shule ya Alfarouk ISLAMIC Seminary amekutwa na Risasi sita, Mapanga, majambia na mbao zenye misumari zinazosadikiwa kuwa zilipangwa kutumika kwenye ugaidi. Source: Gazeti la Mtanzania. My take: Hadi mtoto wa Form three anafanya ugaidi?!!
  9. I

    Tundu Lissu ni kama mfalme jimboni kwake

    Wakuu, Katika kuhangaika kutafuta mkate wa kila siku leo nimefanikiwa kufika Ikungi, nyumbani kwa mpiganaji mahiri asiyepepesa macho kwenye kuwavuruga magamba, Tundu Antipas Mughwai Lissu. Hakika nimejionea kwa macho yangu jinsi CCM wasivyotakiwa, jinsi TL alivyo kipenzi cha watoto, vijana...
  10. I

    Mpinzani wa Mbowe ajitoa

    Hamkani hali si shwari ndani ya Chadema! Kansa Mohamed Mbaruku, Mwenyekiti wa zamani wa Chadema Mkoa wa Tabora, amejitoa kuwania nafasi ya uenyekiti wa chama hicho taifa, hivyo kumfanya kwa mara nyingine Freeman Mbowe kuwa katika mashindano ya 'farasi' mmoja. Kwa mujibu wa 'Mwananchi Breaking...
  11. I

    Mbowe ni nguzo imara

    Hakika nimefarijika sana kwa wazee wenye akili na wanaojitambua walioamua bila unafiki kumchukulia Mbowe form za kugombea uenyekiti. Wazee hawa ambao wamejipambanua kuwa hawako sawa na wale wazee wanaokusanywa Karimjee mwisho wa mwezi na kusimuliwa hadithi za akili za Mbayuwayu. Wazee hawa...
  12. I

    Tambwe Hizza: Nitagombea Urais

    Akihojiwa na Radio Pride ya Mtwara leo saa 11 jioni, Tambwe Hizza amesema ana uwezo, nguvu, afya, elimu na akili za kuwa Rais wa tano wa Tanzania. Amesema wakati ukifika atachukua fomu. Alipoulizwa atagombea kama mgombea binafsi kama katiba itaruhusu amejibu kwa kifupi, CCM ndo baba lao...
  13. I

    Mke wa Mchungaji ajifungua hirizi baada ya ujauzito wa miezi 9

    Bagamoyo : Mke wa Mchungaji ajifungua hirizi baada ya ujauzito wa miezi 9 Wazee wetu walishawahi kuneno kwamba; Ukishangaa ya Mussa utayaona ya filauni! Ndivyo unavyoweza kuanza kusema kuhusiana na tukio la kushangaza lililotokea Kijiji cha Udindila Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani. Mchungaji...
  14. I

    Hizi tuzo nyingine kwa Kikwete HAPANA!

    HABARI iliyosambazwa kwa vyombo vya habari ni kwamba Rais Jakaya Kikwete amepewa tuzo nyingine ya The Icon of Democracy. Ni icon au agony of democracy? Ajabu! Pamoja na wahusika kujisifu, ukichunguza sana unagundua kuwa nyuma ya tuzo hii kuna Wanigeria. Kulikoni? Je, kuna matapeli...
  15. I

    Tundu Lissu na Aboud Jumbe

    Nimemsikia Shujaa Tundu Lissu mara kwa mara akihusisha Muungano na Kuwekwa kizuizini Aboud Jumbe. Eti Nyerere, mwasisi wa CCM ndie aliyempiga BAN mzee Jumbe. Mohamed Said na Yericko Nyerere na Pasco naombeni mje hapa tuungane na wadau wengine tuwekewe ukweli huu hasa kwa kizazi cha 1980's...
  16. I

    Jumapili njema

    C1: Likolo na ngai Na bososoli masiya Na bozalisami ya Yo Kati na motema Nde lokola bozui na ngai Awa na se na moyi Nionso yo okoma po na ngai Pe oyo osala po na ngai Yango nde motema esopi Lokola loyembo ya lelo Liboso ya kiti ya ngolu Yamba yango na esengo Motema...
  17. I

    PSPF Kibaha mnatia aibu

    Tangu Jumatatu nimetoka zangu Mafia kufuatilia maswala ya kustaafu ya Mama yangu mdogo anayefundisha huko. Jumatatu nilipofika pale PSPF Kibaha jengo la Mkuu wa Mkoa Floor namba 3 jirani kabisa na ofisi ya Wakili wa Serikali nikakutana na mwanaume mmoja aliyejitambulisha ni afisa wa PSPF...
  18. I

    Jeshi la Polisi mjiangalie Upya

    Mmekuwa mkijinasibu kuwa mnaoperate kisasa wakati sio kweli. Mmekuwa na maneno meeeengi ya kukataza rushwa ilhali ninyi ndio wala rushwa wakubwa na mifumo mliyonayo inachangia kuwa wala rushwa. Leo nilikuwa safari natoka Iringa kuja Dar. Nilipofika Mikumi karibu na Mizani nikakamatwa na...
  19. I

    Vunja jungu ya kufa mtu

    Tarehe zinasogea. Siku za kuanza mfungo zinakaribia. Wote wenye mapenzi mema wani pm nakusanya michango kwa ajili ya shughuli hii muhimu. Natarajia Ustadh Mzee Yusuph atakuwepo, Kanga Moko watakuwepo, na vinywaji vya kutosha. Shime shime wandugu tuchangamke siku zimebaki chache.
Back
Top Bottom