Search results

  1. beeper

    Baada ya kupandisha nauli, Mishahara nayo itapanda?

    Habari, Hivi SERIKALI inapopandisha bei za nauli MISHAHARA nayo inaangaliwa? Watu bidhaa wanafaidika kwa kuongeza bei lakini mishahara ipo palepale mfano sukari ilipopanda haikushuka ilipo. Tofauti ya kuoanda ni kubwa. Wiki hii mmetangaza kupanda kwa nauli lakini hali za mishahara kwa sisi...
  2. beeper

    INAUZWA Lamination machine na monitor zinauzwa @tsh 50,000

    Ipo poa kabisa haina tatizo Bei 50,000
  3. beeper

    INAUZWA Lamination machine na monitor zinauzwa @tsh 50,000

    Habari nauzwa lamination mpya kwa sh 50,000 na pia monitor del inch 18 Tsh 50,000 hii ni used ipo poa. Kinyerezi. Dar Piga/sms 0738373706
  4. beeper

    Return of Manara inaelekea kubuma

    Return of mizombi
  5. beeper

    Rally Bwalya Simba wamepigwa mchana kweupe!

    eti galasa
  6. beeper

    Mchikichini: Mtaa wa mateja uliotoa vipanga wengi kielimu Dar na mikoani

    NILISHAWAHI KUTANA NA HIDDEN KWENYE DALALA KINYEREZI .NILIPOMUONA NIKAMLIPIA NAULI KIMSINGI ALIKUWA KWENYE MAISHA MAGUMU SANA NI MIAKA MIWILI ILIYOPITA .KISA KIKUBWA NI MKE WAKE NA ALIUGUA NUSU KUFA KISA MALI KATI YA YEYE NA MKE WAKE (ALINIELEZA MENGI SANA KWA KIPINDI KILE WHATSAPP HAIKUWA...
  7. beeper

    Uchawi wa ndulele kwenye biashara

    ASILIMIA KUBWA YA WATU MOYONI NI WACHAWI MACHONI NI WAUMINI.FANYA UTAFITI UTAONA
  8. beeper

    Naomba msaada wa kupata notes za PCM

    notes zipo za kutosha primary hadi a level nitafute 0653987291
  9. beeper

    msaada: notes za english medium primary schools

    notes zipo za kutosha primary hadi o level nitafute 0653987291
  10. beeper

    Naomba msaada wa kupata notes za primary Tanzania English medium schools

    notes zipo za kutosha primary hadi o level nitafute 0653987291
  11. beeper

    Msaada: Natafuta fundi wa Computer

    ZIMA ALAFU WASHA NA UREBOOT
  12. beeper

    Mimi ni mwalimu, naacha kazi nijiajiri

    upo private au government ?? kama private sawa ila government vumilia chukua bumu la 15milion fanya biashara bila kuacha kazi
  13. beeper

    Kwa mtaji wa Tsh. 400,000/- naweza fanya biashara gani?

    Safi sana kuna jamaa baada ya kukosa ajira kwasababu ya corona maana alikuwa mwalimu alianzisha hiyo alisema inalipa kwa siku hakosi elfu 10 faida kwa kuku wanne
  14. beeper

    Msaada: Tumetapeliwa!

    huu wizi upo mfanyakazi mwenzangu aliibiwa elfu 76 m pesa kwa vijana hao hao mwaka wa jana ,mtindo kama unafanana isipokuwa wao walimwambia awashe simu baada ya dakika 10 na alipowasha kila kitu kilikuwa kinagoga.Kuna uzi fulani humu ulikuwa unatahadharisha wizi wa aina huo kama sikosi unaweza...
Back
Top Bottom