Search results

  1. dansmith

    MO,MANJI,BAKHRESA MSIBA HAMJAUSIKIA

    sijwasikia social media TV media Wala karimjee kumuaga mpendwa wetu mbona wengine tunajitoa mkipata matatizo .sio poa
  2. dansmith

    Looking for typwriter

    As per above title wajameni natafuta manualy typewriter plse aliyenazo aje tuyajenge
  3. dansmith

    Serikali chomoeni simu za TTCL kama hamzitumii

    Inashangaza ktk website ya idara na Wizara za Serikali wameweka namba kibao za TTCL wanaita landline sasa karibu kupiga kama utakaaa kujibiwa. Nimeshajaribu wizara na tasisi kibao sasa mnayaweka kama contact ya nini?
  4. dansmith

    Nahitaji contena 20 ft

    Aliyenalo plse pm
  5. dansmith

    Mange Vs Mobeto

    Movie imeaanza msiniulize maswali nendeni insta wacha niagize porpcon
  6. dansmith

    Naitaji Toyota Voltz namba c au D

    Kama heading inavyosema inahitajika Toyota voltz iwepo dar es salaama namba hizo rangi sichagui kama unayo njooo chemba tuyajenge
  7. dansmith

    Samaki sato na kambale wanapatikana

    Wakuuu nauza samaki sato na kambale bei Tsh 7000 kwa kg napatikana dar es salamaaa kuanzia kilo 2 nafanya delivery ndani ya dar es salaaam karibuni sana
  8. dansmith

    Asali mbichi

    Kwa anayehitaji Asali mbichi kutoka mpanda Plse ni pm nipo dsm
  9. dansmith

    Nauza samaki sato na kambale wa kufuga bwawani

    Kwa wanaitaji samaki sato na kambale wa kufugwa bwani !ni fresh navua siku moja kabla ya kupeleka mzigo (delivery) napatikana dar es salaaam bei Tsh 7000 per kg Karibuni
  10. dansmith

    Hizi massage za michezo ya kubahatisha imekuwa kero TCRA mmelala

    Sijui ni mm au hata na wengine kila dk 5 inaingia massage Mara dakapesa.booopesa instmoja.biko.tatumzuka jamani tafuteni njia nyingine ya vipato na ole wenu zingekuwa zinajibika
  11. dansmith

    Zimebaki siku ngapi tuhamie Dodoma?

    Nimekuwa nawza hivi ile ahadi ya kuhamia Dodoma bado ipo kama namkumbuka ilikuwa ni DEC mwaka huuu hebu tukumbushame maaana naona wazungu wa WB wanakuja magogoni badala ya huku kwetu kwa kina lusinde
  12. dansmith

    MARIA. SARUNGI PIGA KAZI JAMIII INAKUELEWA

    Nimeoma mjinga mmoja ana muataack dada wa watu kwaujasiri wake wa kuwatetea watoto wa kike kurudi shule wapatamo ujauzito ,maria jamiii unajua imesikia ma dunia unajua pamoja tutashinda piga kazi !wakasome kwanza ilani yak ya 2015 =2020 ndo waje na povu
  13. dansmith

    RC TABORA INATOSHA HIZO CLIPS UNAENDA KUHARIBU WANAKUCHORA

    Naona watu wamekugeuza comedian na ukitoa movie kila siku utaishiwa na watu watakuchoka mapema jaribu kuweka akiba ni maoni yangu tuuu
  14. dansmith

    Jahazi ya clouds fm wanaongea matangazo tuu

    Hawa jamaaa tangu nimeanza kuwafatili wanaongea matangazo tuuu na kidogo kibonde lazima amsifie jiwe yeye Anadhani ukiwa rais wa nchi unakuwa above the law yaaani asikosolewa kwa kigezo cha kutiii mamlaka.
  15. dansmith

    NASUBIRIA HABARI TBC SAA 2 NIONE PRESS YA ZITO

    Rioba anadai wanafanya kazi kwa weledi arushe hyo pres kama yy kidume
  16. dansmith

    Zitto: Siwajibu gazeti la Tanzanite, ni takataka

    Zzk kakataaa kujibu swali kuhusu ndugu mzeee wa tanzanite /eti hawajibu takataka
  17. dansmith

    Kwa huu umeme wa kukatika katika treni za umeme ni za nini?

    Kwa kweli hizo treni za umeme naona muachane nazo, leo nimeshudia kuanzia asubui mpaka muda muda huu umeme unakuja mara hafifu mara mnazima ukirudi tena hautoshi binafsi nishaunguza taa 2. Sijui kwa wengine ambao hawakuwepo kuweza kuzima vifaaa vyao. Pamoja na kuripoti TANESCO Ilala na Tabata...
  18. dansmith

    Mashudu ya alizeti

    Kwa wanaohitaji mashudu ya alizeti zipo tani kumi hapa DSM anayetaka aje pm Thanks
  19. dansmith

    RC,RPC Geita jipimeni wenyewe kama bado mnatosha

    Ni kitendo cha ajabu na cha aibu pamoja na mitandao ya jamii kukemea kilichofanywa na raïa wa kichina cha kumpiga na kumdhalilisha raia wa Tanzania bado mkamuweka ndani. Aliyefanya hilo kosa yupo huru mpaka Waziri atoke Dar aje Geita ndio mnaona kuna kosa kwa raia wa kichina. Waziri asingefika...
  20. dansmith

    Safi TBC kwa kukata matangazo ya Live

    Mmenifurahusha leo mlivyokata matangazo ya moja moja kutoka Magogoni watu walikuwa wanaangalia wanaacha kazi na sera yetu hapa kazi tuuu.Asanteni
Back
Top Bottom