Baba Tunde, afadhali umekiri kwamba humjui Mhandisi Omari Bakari. Tunaomjua tunajua kwamba hana weledi wala uwezo wa kuongoza SIDO. Pia wapo waliofanya naye kazi pale COSTECH wamo humu natumaini watajitokeza na kuongea bila woga wala upendeleo. Wenye mamlaka ya uteuzi waache kufanya majaribio na...
Kwa kuwa suala hili ni la kikatiba ebu tusome Ibara husika za Katiba yetu. Kwanza tuitazame Ibara ya 51(2) ya Katiba ya JMT:
"Mapema iwezekanavyo, na kwa vyovyote vile ndani ya siku kumi na nne, baada ya kushika madaraka yake, Rais atamteua Mbunge wa kuchaguliwa kutoka katika Jimbo la Uchaguzi...
Unasikia? Hahaha! Shikamoo King'asti! Kweli kabisa. Mpeleke haraka Marie Stopes. Wamebobea kwenye mambo hayo. Sijui ni lini Tanzania itaruhusu utoaji mimba salama. Wanawake wanahangaika kutoa huko vichochoroni kwa njia za ajabu ajabu. Wengine wamepoteza hata maisha.
Japokuwa mchango wako bila ya shaka yoyote hautasaidia sana mjadala lakini ni vyema ujikite kwenye mada tafadhali. Ni vyema kujadili masuala kuliko kujadili watu binafsi. Sote tu wahanga wa ukanda, udini na ukabila mnaouhubiri sana wenzetu. Tukemee ubaguzi wa aina yoyote ile.
Safi sana! Ni vyema usiwe na dini pia kwa sababu hata dini utasikia dini ile ya makafir mara ile ya Al Shabaab mara ile nyingine ya mashoga nk! Makameeee, ushanifahamu?
Ushauri mzuri kwamba usimuache kwani dawa zipo. Ni vyema mwanamke akiwa na tatizo hilo kwenda hospitali daktari ajue tatizo ni nini na apendekeze tiba muafaka. Sio ukisikia harufu kali tu kutoka ukeni unaanza kujidunga dawa ambazo pengine sio za kutibu ugonjwa ulionao. Lakini kama ni harufu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.