Kama walivyojadili wengine, iwapo uteuzi huo utafanyika, itakuwa ni kinyume cha katiba ya sasa ya JMT. Lakini muhimu zaidi, iwapo ni maandalizi ya kumsimamisha kuwa mgombea kwa tiketi ya ccm, hakuna waziri mkuu aliyefanikiwa kuwa Rais wa nchi tangia uhuru ukiachilia Mwalimu Nyerere. Kwa maana nyingine, safari kuelekea uwaziri mkuu kupitia urais ni safari ngumu sana.
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Nimeisikia taarifa hii asubuhi hii kupitia uchambuzi wa magazeti Star Tv.
Habari hii imeandikwa na gazeti la Dira.
Hivi karibuni rais Kikwete alimteua Asharose Migiro kuwa mbunge, uteuzi huu umeibua mijadala na tabiri za kila aina, wengine wakisema lengo ni kumrudisha wizara ya mambo ya nje au wizara yoyote kati ya zinazoonekana kuyumnba hivi sasa. Lakini habari niliyoisikia ya gazeti la dira ndiyo imenishangaza na kujikuta nikijiuliza maswa lukuki kuhusu uwezo wa gazeti hili katika kufuatilia, na kuhakiki habari.
Moja kati ya sifa za Waziri Mkuu ni kuwa awe mbunge wa kuchaguliwa jimboni (hata kama alipita bila kupingwa). Ina maana hawa waandishi wa Dira na wahariri wao hawalifahamu hili?
Uandishi ni taaluma nyeti sana hivyo naomba acheni uvivu wa kufuatilia mambo na kufanya references kwa lengo la kuandika habari zisizo na mashaka kwa maslahi mapana ya jamii. Mnafanya idadi ya wasomaji wa magazeti kupungua kutokana na tabia yenu hiyo isiyo na misingi ya kitaaluma ya kuandika hisia badala ya uhalisia.
Nawasilisha.
Sasa mtu alishindwa huko UN ndio ataweza uwaziri !ebu Kikwete uwe sirious kidogo!

Wewe , umeamkia komoni?Weka Ibara ya Katiba inayosema.kuwa kazima awe ni mbunge wa kutoka Jimboni. Acha Upotoshaji unakurupuka asubuh asubuh bila kupiga Mswaki na domo linanuka unakuja kuweka hoja isiyo na Ushahdi .Madhara ya kusoma Vyuo vya K koo(Green College)
Nimeisikia taarifa hii asubuhi hii kupitia uchambuzi wa magazeti Star Tv.
Habari hii imeandikwa na gazeti la Dira.
Hivi karibuni rais Kikwete alimteua Asharose Migiro kuwa mbunge, uteuzi huu umeibua mijadala na tabiri za kila aina, wengine wakisema lengo ni kumrudisha wizara ya mambo ya nje au wizara yoyote kati ya zinazoonekana kuyumnba hivi sasa. Lakini habari niliyoisikia ya gazeti la dira ndiyo imenishangaza na kujikuta nikijiuliza maswa lukuki kuhusu uwezo wa gazeti hili katika kufuatilia, na kuhakiki habari.
Moja kati ya sifa za Waziri Mkuu ni kuwa awe mbunge wa kuchaguliwa jimboni (hata kama alipita bila kupingwa). Ina maana hawa waandishi wa Dira na wahariri wao hawalifahamu hili?
Uandishi ni taaluma nyeti sana hivyo naomba acheni uvivu wa kufuatilia mambo na kufanya references kwa lengo la kuandika habari zisizo na mashaka kwa maslahi mapana ya jamii. Mnafanya idadi ya wasomaji wa magazeti kupungua kutokana na tabia yenu hiyo isiyo na misingi ya kitaaluma ya kuandika hisia badala ya uhalisia.
Nawasilisha.
mwaka 2015 lowassa rais , migiro pm
tulieni kwanza mapema mnoo
Ni Ibara gani hiyo ya Katiba iliyovunjwa? Tuisome Katiba na tusiwe wepesi wa kutunga vitu visivyokuwepo.kwani kipi cha ajabu mbona katiba imevunjwa kwa wizara ya afya kuwa na waziri na naibu wake wote toka zanzibar. hapa tusubiri kuona katiba ikivunjwa tena kwa huyu mama kupewa ulaji tena mla huliwa,
Umesema vema, tumekuwa wavivu wa kutafiti hata mambo madogo tu kama hili. Ni aibu kwa mwandishi na kama ni kweli basi mkuu wa kaya atavunja katiba. Wasome Article 51(2) Of the Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977Nimeisikia taarifa hii asubuhi hii kupitia uchambuzi wa magazeti Star Tv.
Habari hii imeandikwa na gazeti la Dira.
Hivi karibuni rais Kikwete alimteua Asharose Migiro kuwa mbunge, uteuzi huu umeibua mijadala na tabiri za kila aina, wengine wakisema lengo ni kumrudisha wizara ya mambo ya nje au wizara yoyote kati ya zinazoonekana kuyumnba hivi sasa. Lakini habari niliyoisikia ya gazeti la dira ndiyo imenishangaza na kujikuta nikijiuliza maswa lukuki kuhusu uwezo wa gazeti hili katika kufuatilia, na kuhakiki habari.
Moja kati ya sifa za Waziri Mkuu ni kuwa awe mbunge wa kuchaguliwa jimboni (hata kama alipita bila kupingwa). Ina maana hawa waandishi wa Dira na wahariri wao hawalifahamu hili?
Uandishi ni taaluma nyeti sana hivyo naomba acheni uvivu wa kufuatilia mambo na kufanya references kwa lengo la kuandika habari zisizo na mashaka kwa maslahi mapana ya jamii. Mnafanya idadi ya wasomaji wa magazeti kupungua kutokana na tabia yenu hiyo isiyo na misingi ya kitaaluma ya kuandika hisia badala ya uhalisia.
Nawasilisha.
Mwaka 2015 Lowassa Rais , Migiro PM
Tulieni kwanza mapema mnoo