Daktari wa Ngozi

Bebz

Member
Dec 12, 2011
80
12
Habari wandugu.

Ninaomba msaada wa kujua wapi ntapata Daktari wa ngozi kwa Dar. Ngozi yangu imekua inaharibika hasa usoni natoka na mapele chunusi si chunusi. Nimejaribu dawa mbalimbali lakini hazijasaidia. Kwa sasa natumia Elocom ambayo nilipata phamacy but still ngozi inaharika. My skin in Oily and sensitive.

Please advice me which doctor is good na ambaye ntaweza kumwona.

Asanteni in advance
 
Pole sana. Mtafute Prof. Mgonda wa Muhimbili. Anapatikana Regency Hospital J5 na Jmosi. Ratiba yake hospital nyingine siijui.
 
Wanawake wengi wanapata matatizo baada ya kumia mafuta ambayo yana kemikali kali ambazo huwaharibu ngozi zao. Kuna wengine inatokea naturally lakini ni wachache sana. Kama umepata reaction ya mafuta au kitu chochote unachotakiwa ni kuachana na vitu hivyo. Pale muhimbili kuna clinic ya ngozi ambayo hufanyika jumatano jengo linaloitwa new opd! Ukifika pale utapata msaada zaidi
 
Back
Top Bottom