Search results

  1. M

    Muungano wa Upinzani Umekwamishwa na Nini?

    Zile harakati za kuwa na Muungano ama ushirikiano wa vyama vya siasa katika chguzi umekwama wapi? Wapinzani walivyoanza kuzungumzia swala hili nilikuwa na matumaini makubwa sana kwamba sasa tutakuwa na ushindani wa kweli wa siasa. Nikiwa kama Independent nilifarajika, sasa sisikii lolote...
  2. M

    Sasa iwe Mwiko kutumia Quran na Biblia kuapa!

    Nimekuwa nikitafakari kwa nini wanasiasa watumie vitabu vitakatifu kula viapo. Kiongozi anatakiwa aongozwe na katiba ya nchi na sheria za nchi sasa kwa nini ashike Biblia ama Quran kula kiapo-kwa nini asikamate Katiba anayoapa kuilinda na kama akikikuka ahadi hiyo atahukumiwa kwa mujibu wa...
  3. M

    Diplomasia za kiarabu

    Viongozi wa Kuwait na Iran wakisalimiana. Hii imekaaje?
  4. M

    Taratibu za Kisheria za kipuuzi

    Mara nyingi nimekuwa nikisoma habari kwamba mtuhumiwa amefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka mazito kama ya mauwaji lakini mtuhumiwa hakutakiwa kujibu lolote kwa kuwa mahakama hiyo haina mamlaka na uwezo wa kusikiliza kesi za namna hiyo. Hivi mtu mwenye akili zake anaweza kwenda sebuleni...
  5. M

    Hodi Hodi

    Ninabisha hodi katika 'jumba hili la watafakiri wakubwa'.
Back
Top Bottom