Nilikuwa nampenda hyu mama sa iv nimekosa matumaini naye naye amegeuka mtu wa matamko mpaka bhass yaani bora alivyokuwa Dr kuliko now Prof cjamuelewa kabisa
Manispaa saa iv zimeibua mtindo wa kununua timu na kuziendesha hpo me napata kigugumizi maana bajet ya timu c chini ya million 100 kwa hzi za daraja la chini au ndo njia ya kupiga hela kwa mgongo mwingine?
Wakuu,
Nipo eneo la tukio.
Mabanda ya wamachinga eneo la Soko Karume yanaungua na moto.
Habari zaidi zitafuata.
==========
UPDATES:
==========
Moto bado ni mkali, unazidi kusambaa na sasa unaelekea Breweries. Usipodhibitiwa mapema utaleta athari kubwa sana.
Hali bado ni tete, Fire walifika...
Yaan ni balaa tu hko morogoro wilaya ni lakini nauli shi 70000 miundo mbinu hakuna kivuko akifanyi kazi na tulikuwa na mawazir kombani na mwenzake ni balaa tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.