Manispaa saa iv zimeibua mtindo wa kununua timu na kuziendesha hpo me napata kigugumizi maana bajet ya timu c chini ya million 100 kwa hzi za daraja la chini au ndo njia ya kupiga hela kwa mgongo mwingine?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.