Search results

  1. franco15

    Taste Naija

    Umesikia kuhusu vyakula vya Nigeria, umeona kwenye Tv au mitandao ya kijamii.. Hii ni fursa ya kipekee kuja na kuonja misosi mbalimbali ya Nigeria ndani ya Dar es salaam.
  2. franco15

    Taste Naija

  3. franco15

    Probiotics!!!

    Habari wataalamu! Naomba msaada kwa yeyote ajuaye wapi nitapata dental probiotics na gut probiotics hapa dar, hasa zile za kampuni ya hyperbiotics. Nimejaribu kutafuta hapa dar sijaona mpaka uagize mtandaoni na gharama inaongezeka maradufu. Miaka ya karibuni nimekuwa mtumiaji wa antibiotics...
  4. franco15

    Vipindi vyetu vya TV vinafanya Juhudi kubwa kuhamasisha Ushoga

    Ila we una akili sana nilikuwa sijawahi fikiria jambo hili, ila una point kubwa sana
  5. franco15

    Nahitaji kujua namna ya kudownload movies kwenye smartphone.

    Mkuu hii app haipo playstore so search Google then download from their site
  6. franco15

    In need of illustrator,photoshop cs6

    Mkuu asante sana nimepata cc ya 2015 full version, God bless you
  7. franco15

    In need of illustrator,photoshop cs6

    Nadhani huna kazi na ndio maana ni lazima utoe maoni hata kama huna point haha
  8. franco15

    In need of illustrator,photoshop cs6

    Haiwezi ikawa full, ndio maana inaitwa crack
  9. franco15

    In need of illustrator,photoshop cs6

    Jamani mwenye software tajwa hapo juu naomba tuwasiliane, nahitaji full version na sio crack
  10. franco15

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Torres leo amejifunza msemo wa "husitukane wakunga na uzazi ungalipo" eti hakuenjoy ucl triumph na Chelsea.... sasa amekiona cha moto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  11. franco15

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Aisee mdau ungetusaidia kulist majina wengine macho yetu ni shida hatuoni
  12. franco15

    Fixed account za benki na utajiri wa haraka haraka

    Wapendwa I have a certain sum of money ambayo sitarajii kuitumia soon na nimefikiria kufungua fixed account niweke angalau kwa mwaka mmoja ila sijawahi fungua hiyo account before kwa hiyo kwa wale wanaojua rate of interest ya fixed account especially kwa CRDB wanieleze tafadhali
  13. franco15

    A-level au Diploma?

    Asikudanganye mtu A-level ngumu... Ila mimi nasapoti aende advance coz ina heshima yake pia anakuwa na wide choice ya course ya kuchagua chuo.... Kwanza kabla hujafanya uamuzi mtathimini huyo dogo, he alifauli kisa ana bidii au kisa walimu walikuwa wana bidii? Kama ni walimu basi mpeleke tu...
  14. franco15

    Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

    We mbona muongo hivyo? Mange ameomba msamaha wapi? Lete visibitisho hapa!!!!!
  15. franco15

    Mzungu/muitaliano akanusha kutapeliwa na January Makamba

    Nenda instagram pg ya mange utamuona
  16. franco15

    Teknolojia gani kubwa ungependa itokee duniani

    Kuna tech zingine tutaishia kuziangalia kwenye movies tu kama hiyo time travel ni ndoto kwani dunia au maisha sio cinema hata uweze kuruka from one point to another..... Na binadamu bado technology yake ni poor sana imeonesha mapungufu mengi sana, kama ameshindwa hata kumaster mwili wake na...
  17. franco15

    Teknolojia gani kubwa ungependa itokee duniani

    Ikija kutokea hii basi me mbwa
Back
Top Bottom