Search results

  1. K

    Pombe imesambaratisha familia, nahitaji ushauri

    Pole sana.Nakushauri kuacha pombe tu haitoshi bali kama bado hujampa maisha yako Yesu Kristo fanya hivyo then tafuta mtu mwenye hekima awe kiunganisho kat yako na wazazi wako ili awashawishi wazazi wako kukubaliana na mawazo yako.Zaidi ya yote muombe Mungu kwani yeye ni JIBU
  2. K

    Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

    I was very much shocked after reading this kind of stuff. How many so called professionals of this kind are out there?
  3. K

    Naona aibu kusema nina masters ya Mzumbe

    Pole sana ndugu yangu. Ningekuwa wewe wala nisinge post hii kitu kwani unaonesha udhaifu wako. Ili ujifunze lazima wewe binafsi ubebe responsibility yote kama mwanafunzi usimtegemee mtu.
  4. K

    Kufanya masters, phd ni uoga wa maisha.

    I am sorry for you
  5. K

    Ngozi nyeusi tumeumbwa kutumikia ngozi nyeupe vizazi na vizazi

    Kweli ngozi nyeusi ni laana toka vizazi na vizazi! What a despairing statement! I am proud to be a black African. I am the change agent.
  6. K

    Usafiri wa UMMA Nairobi wazidi kuvutia abiria-wakati Dar ni kero tu!

    I don't like the way we criticize our country. We are the one to make changes. However I do not see any significant difference here as we compare commuter services btn Tanzania and Kenya. Thanks.
  7. K

    Why ladies mnapata shida sana kuishi single without relation?

    Hakuna aliyekamilika peke yake,kila mtu anahijtaji mwenzi wake. Kila anayekosa mwenzi lazima awe frustrated tu though we differ on how we express our frustrations
  8. K

    Je unaijua AMANA Bank, Inayokopesha bila Riba?

    please watch where your fingers touch the keyboard while typing. Love is God's greatest command
  9. K

    Bingu Mutharika afariki rasmi

    Who are you to make this conclusion? W
  10. K

    Epukeni bidhaa za Game Mlimani City!

    Mamlaka husika zinatakiwa kuchukua hatua juu za bidhaa mbovu/feki zinazoingizwa sokoni bila kujali zinatoka ndani au nje ya nchi. Mojawapo ya bidhaa zinazoingiwa nchini zilizo chini ya kiwango ni helmet za waendesha pikipiki.
  11. K

    Huu ni baadhi tu ya ufisadi mkubwa ndani ya CHADEMA; ni kuhusu mamilioni ya Sabodo

    What is the solution then? Nafikiri unahitaji kuhuisha fikra zako.
  12. K

    Scholarships for tanzanians.

    Nabatilisha comment yangu hapo juu.
  13. K

    Scholarships for tanzanians.

    Mtaibiwa. Chuo hakina means zingine za kupokea pesa mpaka mtume kupitia staff wake? Think wisely!
  14. K

    Tanzania Revenue Authority Employment Opportunities

    Mods please naomba posts za kazi ambazo timeline imeshapita ziondolewe maana naona hazina mantiki kuwepo kwani zinatuchanganya
  15. K

    Tanzania Revenue Authority Employment Opportunities

    Mbona deadline imeshapita au ndio ku cut and paste?
  16. K

    Sakata la UDA: Bomu lingine lalipuliwa!

    Popote palipo na ubinafsi zaidi ya uzalendo, usitegemee maendeleo. Ili tuondokane na umaskini tunahitaji viongozi walio mfano bora ktk uzalendo na elimu ya uzalendo ifundishwe mashuleni kuanzia shule ya msingi.
  17. K

    kazi : web designer napatikana

    Big Up!Natumaini utapata kazi. Na wengine wenye profession zenu/vipaji vyenu jitangazeni mnaweza pata contract
  18. K

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI - Maandamano ya Amani na Mkutano wa Wazi

    Nimependa jinsi ambavyo watu wanavyojaribu kutafakari mambo kwa kina badala ya kukubali kirahisi rahisi. Hata hivyo nionanyo mimi ni kwamba issue ya tatizo la umeme ni la kitaifa na lina cut accross all political boundaries. Tuweke kwanza utaifa wetu mbele na si siasa na itikadi za vyama...
  19. K

    Wanawake na Okada! (boda boda)

    Nafikiri kuna haja ya kulifanyia utafiti. Good observation!
Back
Top Bottom