Search results

  1. Kibishi

    Uzi wa kutaja 'A full charge will last about' ya simu yako

    Habari, A FULL CHARGE WILL LAST ABOUT ni masaa ya simu kukaa na chaji kutoka ikiwa full mpaka inapoisha. Piga screenshot kwenye A FULL CHARGE WILL LAST ABOUT halafu weka hapa tuangalie. Taja na model ya simu yako. Naanza mimi. Masas 10, simu Samsung Tab S6. Habari, A FULL CHARGE WILL LAST...
  2. Kibishi

    Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

    Haya maswali ni magumu, mimi mwenyewe yananihangaisha. Yajaribu. Tumia njia yoyote ila usitumie graph.
  3. Kibishi

    Kama mtabe wa mathematics, pitia hapa

    Hilo hapo juu mkuu. Kama umeielewa hiyo njia, itumie kufanya maswali yafuatayo. hii ni homework kwa wengine. 1) 2^x=4x 2) 2^x=x^4 3) 3^x=9x 4) 3^x=x^9 5) 27^x=9x 6) 5^x=50/x 7) 2^(6-x)=x 8) x+2^x=3
  4. Kibishi

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Humu ndani nimepiga mekelele sana nisaidiwe wimbo wowote wa kundi la MOB MASTERS, lakini watu wanantolea macho tu. MOB MASTERS ni kundi la miaka ya 90 la Afrika Kusini, lilikuwa linapiga muziki wa vyombo vitupu na miondoko ya Electronics mchanganyiko na Khwaito. Nyimbo yao mojawapo ni Palamba.
  5. Kibishi

    Tanzania kusoma imekuwa nongwa sana sijui tufanyeje

    wale waliokuwa wanatamani kupata division 1-3 ya kurisiti. huu ndiyo muda wake. elimu ya Bongo imeshashuka thamani
  6. Kibishi

    Speaker za JBL ni ndogo ila ni bei kubwa

    Nimevutika na hizi mini bluetooth speakers. Mimi napenda mziki wenye bass iliyopitiliza, je, hizi speaker zina bass ya kutosha?, au ndiyo sauti imechujwa unasikia kila kitu halafu bass hakuna?
  7. Kibishi

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mpigaji huyo. Files anazouza zingekua zinafanya kazi, screenshot yake ya tangazo ya kuuza file ingekua inasoma CONNECTED, lakini inasema STARTING.... Kwenye social media zote mpaka facebook anatumia screenshot hiyohiyo. Kama kweli files zake zinafanya kazi, watakuja watu kutoa shuhuda hapa.
  8. Kibishi

    Speaker za JBL ni ndogo ila ni bei kubwa

    Ubaya wa hizi brand kubwa kama JBL, Bose na Harman Kardon, huwa hawaweki specifications za RMS watt, hiki ndiyo kipengele muhimu zaidi mteja anachotakiwa kujua.
  9. Kibishi

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Hakuna, asikudanganye mtu. TTCL yenyewe hakuna, ipo ya asubuhi tu. Mtandao wenye config files zinazofanya kazi ni Airtel tu basi.
  10. Kibishi

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Nikikuwa naangalia angalia router zinazouzwa eBay, Kumbe kila kitu limit na specifications zake?, kwa kutokujua, nilikuwa nafikiri kila router inaweza kufanya chochote kwenye intaneti, yaani kubrowse na kustream, kumbe router nyingine haziwezi kustream.
  11. Kibishi

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Mkuu, hongera kwa kutoa config files bure. Ungeuza files hapa JF watu wangekuona tapeli. Mpaka sasa, files zinazofanya kazi ni za Airtel tu, mitandao iliyobaki sidhani kama kuna files zinafanya kazi. Labda VPN za DNS Airtel yenyewe siku hizi imeanza kusuasua ku-connect, mpaka ulazimishe mara...
  12. Kibishi

    Ladha ya tendo inapungua ukiwa na mpenzi mmoja tu mda mrefu?

    Ukiona hivyo ujue mnafanya mara kwa mara, mkifanya kila siku mnaona kawaida tu wala hakuna ladha. Jaribuni kupumzika kila mtu apate nyege full, mkiwa na nyege za kutosha kila mmoja atafurahia na hamu itaongezeka. Changamoto kubwa ya ndoa/ mahusiano ni kuchokana, kuishinda changamoto hii ni...
  13. Kibishi

    Rayvanny nakueleza "mchumba hasomeshwi"

    Usupastaa ni uchizi. Pamoja na background mbaya ya Paula na ile XXX video ya zamani, lakini Rayvanny kajitosa tu hivyohivyo.
  14. Kibishi

    Rayvanny nakueleza "mchumba hasomeshwi"

    Nimetafuta neno baya la kuchukua nafasi ya ubaya na kukosa akili kwa mwanamke lakini nimekosa, maneno yote hayatoshi. Mwanamke ni kiumbe kisicho na akili na shukrani. Tabia mbaya za wanawake zinazonikera ni dharau (ukionyesha kumjali na kumpenda), na kutoonyesha ushirikiano.
  15. Kibishi

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Shukrani Mkuu kwa majibu mazuri, hapo nimekusoma vyema kabisa.
  16. Kibishi

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Juzi kati nilikaa na jamaa zangu wa kitaa, nao wanalalamika bei mbaya ya vifurushi vya intaneti, nikawapa hii altenative ya ADSL na fiber. Kama unavyowajua Wabongo, kuridhika na kitu mpaka waulize maswali mengi. Wamekubali ila wameniuliza maswali ambayo mimi mwenyewe nimetaka kujua majibu yake...
  17. Kibishi

    Nahitaji Mwanamke mwenye Umasikini kama wangu ili tupendane Kidhati na tushirikiane Kuinuka Kimaisha

    Mkuu umeona mbali sana. Masikini mwenzio ni type yako na hadhi yako, mlo duni unaokula na yeye ndiyo anaokula kwao, mkianza kuishi pamoja kwa kula mlo duni wala hatoona kitu cha ajabu kwakua ameshazoea maisha hayo. Kila la kheri Mkuu, maisha yako ya mahusiano yatakua marefu sana na yenye amani.
Back
Top Bottom