Search results

  1. the event

    Swali kwa Wema Sepetu; Hii shepu ni ya kwako kweli au umejaladia?

    tatizo mkwanja naskia hyo sindano bei yake mchezo
  2. the event

    Swali kwa Wema Sepetu; Hii shepu ni ya kwako kweli au umejaladia?

    hujui ukipata hao madem wakali hata hyo njaa unasahau
  3. the event

    Swali kwa Wema Sepetu; Hii shepu ni ya kwako kweli au umejaladia?

    juzi nilikuwepo kwenye uzinduzi wa ile movie yako ila sikuamini nlichokiona Wallah mtoto umbo namba nane limekaa likakalika kweli na huo mtrako nyuma ndo kabisa uliniua nguvu zotee za kiume.. ila nna mashaka kama hii shepu ni yako kweli, ukipata nafasi ya kupitia uzi huu tafadhali nijibu kama...
  4. the event

    Mtu wa kubadilishana nae laptop.

    .................................................................
  5. the event

    Mtu wa kubadilishana nae laptop.

    Wanabodi natafuta mtu wa kubadilishana nae laptop mimi natumia chromebook ila nataka mashine ya window so kwa yeyote aliye tayar anichek PM, Mashine yangu haina tatizo lolote except spika imeanza kukoroma kidogo lakini wala sio tatizo kwa sababu nimeitumia kistaarabu, Kwa wasio ijua chromebook...
  6. the event

    Hatimae yamenikuta Google Adsense wamelamba account yangu

    Pamoja kiongozi wangu...ila nimeanza kujaribu propeller ila naona convertion yao ni ndogo mno utakuta unapata traffic nzuri lakini mpunga mdogo sana???
  7. the event

    Hatimae yamenikuta Google Adsense wamelamba account yangu

    asante kiongoz wangu nilikua nawasiliana na mazagazaga kipindi flan ila kwa sasa naona namba yake haipatikani na nimemcheki PM naona bado hayuko online unaweza nisaidia namba yake PM plz?? Pia na namba yako ikiwezekana mkuu
  8. the event

    Hatimae yamenikuta Google Adsense wamelamba account yangu

    Wadau yamenikuta mwenzenu nilikua nikiambiwa sana kuhusiana na adsense kufingia account za africa na especial zinazotegemea traffic ya facebook sasa hatimae yamenikuta wamelamba account yangu ikiwa na kama $148 ,,,asanteni adsense mmeniliza leo Wadau naomba mmbadala wa adsense tafadhali nataka...
  9. the event

    Hili ndiyo Gari la mwanaume bhana!!!

    Wanaume tumetulia huku
  10. the event

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Pentax Optio S12 MP12 digital camera with 3x optical zoom (Grey) inataka 200k tu na iko full na kila kitu chake (brand New)
  11. the event

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Mate 7 hyo mpyaa inataka 500,000 tu na ni line moja
  12. the event

    Natafuta chumba maeneo ya kurasini karibu na TIA

    Salaam Mwenye kuweza kunisaidia kupata chumba cha kupanga maeneo ya kurasini na pawe karibu na chuo cha TIA... Sihitaji madalali kwasababu pesa ya kuwapa ya mwezi mmoja kusema ukweli sina...hivyo nahitaji direction niende kwa mwenye nyumba mwenyewe.. My budget ni 100k kwa mwezi.. Nitalipa...
  13. the event

    Msaada wa haraka (kisheria) unahitajika.

    mkuu nilikua na plan hyo kwamba nitafute lawyer niongee nae tuone namna ya kufanya lakini kwa nilichokiona leo nimesita.. Nilipofika ofisi za tukta nikaingia kwenye chumba cha director kwasababu ofisi nyingi zilikua hazina watu...na director akanielezeka kwa secretary nikaingia kwa secretary na...
  14. the event

    Msaada wa haraka (kisheria) unahitajika.

    Mkuu nimekupata lakini tatizo linakuja ni kwamba ni hivi majuzi akiba yangi yote nilipeleka kwenye kiwanja changu na nilifanya hivyo kwasababu bos mwenyewe aliniahidi paymemt zangu ningepata mwisho wa mwezi uliopita...hivyo hili tukio la kuachishwa kazi ghafla limeniacha bila akiba yoyote hivyo...
  15. the event

    Msaada wa haraka (kisheria) unahitajika.

    asante kiongozi ila kwakua nimeshafikia hatua nzuri huku kwenye taasisi ya usuluhishi wa ajira basi wacha nione mwisho wake kisha nikiona kuna mkono wa fitna basi nitaenda kwa mkuu wa wilaya
  16. the event

    Msaada wa haraka (kisheria) unahitajika.

    kiongozi salama. Nilioanga kufanya hivyo hivyo unavyoshauri lakini siku ile ile ambayo aliniambia kazi basi pia alinipiga mkwara mzito kwamba kuanzia siku ile madeni yote yako chini yake na kwamba nosijihusishe nayo.. na hata hivyo tangu siku hiyo nimekua nikipata simu za wadaiwa wetu...
  17. the event

    Msaada wa haraka (kisheria) unahitajika.

    asante kwa ushauri kiongozi nilifika kwenye ofisi za tume ya usuluhishi wa mambo ya ajira na nikapewa maelekezo kua nianzie ofisi za tucta na nikaenda na ninepewa fomu ya kujaza kisha nikarudisha ofisi za tume na pia nikaambatanisha barua ya madai na kwasasa nimepewa tena fomu nipeleke kwa...
  18. the event

    Msaada wa haraka (kisheria) unahitajika.

    asante sana kiongozi umenipa mwanga sana nashkuru sana...nitakua nakupa updates kila mara ili unishauri cha kifanya
Back
Top Bottom