Kwenye nyekundu hapo: Unajuaje kama hiyo SMG ilikunjwa au ni ile yenye kitako kifupi?? Inaonekana unafanya vitu under assumption zaidi. Sina nia ya kukupinga ila ingependeza kama kungekua na ukweli kuhusu SMG iliyotumika. Ni kweli ilikunjwa? Una uhakika? Uliiona au uliambiwa? Please thibitisha...
hahaha Bek benchaz walikua wanajiona magangwe kuliko wote darasani. Umenikumbusha jamaa mmoja alikua mfupi kuliko wote darasani kwetu ila alikua anapenda sana kuwa miongoni mwa bek benchaz.
Hahaha.. usinikumbushe Kibosho Girls aisee. Unajua wale wadada walikua na tabia nzuri sana. Mkimaliza debate pale wanaweka viburudisho. Wengine wanacheza music wakiigiza kama wanaume,nakumbuka mmoja alijipaka masizi kidevuni. Last time nakumbuka waliimba music wa Boys II men.
Wengi wao...
Si yule aliekua askari polisi au? Kama ni hivi basi itapendeza mapolisi nao kutoa wagombea ubunge,mwe!!!. Tumezowea wahadhiri tu kila kukicha. Prof. Mwalyosi,Prof.Mungai,Prof. Msola, sasa waache wana Iringa wapate afande Deo(sijui tu kama anacheo gani sasa). Otherwise big up man!
Kwenye bold hapo.
Yaani baada ya kupata kashfa ya kupata PhD ndio anaenda kuitafuta PhD yake Mzumbe?? Mbona hapo hata walimu wenyewe tunasikia wana PhD kama yake? Kwanini asisome hapo SUA au UDSM tu kama alivyofanya Dr.Mag.? Aache kwenda sehem za mashaka unless kama ana mashaka na uwezo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.