Search results

  1. chilumendo

    Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    Mimi nimekuelewa sana usikatishwe tamaa na hao paper centered.
  2. chilumendo

    Prof. Janabi na Upepo wa Kisiasa

    We cha jamaa
  3. chilumendo

    INAUZWA Vitu vya ndani vinauzwa bei nafuu

    Ningekuwa jilani ningechukua laptop
  4. chilumendo

    Kufanya mauzo makubwa sio kupata faida

    Miye nimekuelewa mtoa mada hao wanaobisha ndiyo hao ambao hawajawahi hata taratibu za kufungua duka hawazijui
  5. chilumendo

    DOKEZO Je, Chuo cha Tabora Polytechnic kilichopo Tabora mjini kimeuziwa taarifa za wanafunzi na Ndono Sekondari?

    Watanzania mtaacha kutapeliwa mpaka lini? Mbona kila siku tunatumiwa sms kuwa umeshinda hujiulizi namba wamepata wapi. Kama umetumiwa sms hiyo achana nao kama hukiamini chuo utatapeliwa.
  6. chilumendo

    Prof. Janabi: Mbinu za kuepuka kuzeeka mapema

    Uishi miaka mingi au michache hapa duniani hakuna faida yoyote. Yaani ni sawa na mtu anayekula chakula kizuri na kibaya wote mtaenda chooni. Kama wote tutakufa maisha yafaa nini sasa mpaka tuanze kutishana. Kwamba ukifa kwa kuchelewa kuna faida utaipata hapa duniani?
  7. chilumendo

    Mwamuzi wa Mechi ya Yanga na Mamelodi awaomba Watanzania waache kumshambulia kwa Matusi kwa kuwa si yeye aliyetoa maamuzi ya Kukataa Goli

    Mbona amesema vizuri wala hajajichanganya. Kuhusu suala la Lomalisa aliitwa kwa sababu walikuwa na wasiwasi na maamuzi aliyotoa. Kuhusu goli la Azizi amesema haikuwa ngumu kuamua( haikuwa tight) kwa var, walimwambia siyo goli
  8. chilumendo

    Nimeangalia Match ya EPL Bure bila DSTV kwa kutumia kifaa hiki..

    Ivi nikiangalia mpira wa ulaya, Asia na America kwa kutumia device yoyote bila kutumia dish la dstv au decoda yao kosa langu linakuwa lipi
  9. chilumendo

    Mkoa wa rukwa unahitaji mbadala wa mkuu wa mkoa aliyepo

    Hili ulilolisema ni nani kakutuma kutoka huku Rukwa? Ni lini na wapi mkuu wa mkoa analeta maendeleo. Huyo mkuu wa mkoa aliyeondoka alileta maendeleo yapi mkoa wa Rukwa, yataje
  10. chilumendo

    Msaada wenu tafadhari juu ya afya ya mwanangu

    Tanzania hatuna madaktari bali wanatibu kama waganga wa kienyeji(wanaagua) Pole sana mkuu kijana mdogo kama huyo anachomwa misindano kama hiyo
  11. chilumendo

    Yaliyotokea kwa ACT Wazalendo kwenye chaguzi Ujiji kwa Polisi kuilinda CCM kuiba kura, 2024/25 yanawasubiri CHADEMA, mtafanya nini yakitokea?

    Hivi katiba ikipatikana CCM ndiyo wataacha kuiba kura? Mbona kipindi cha mwendazake katiba haikufuatwa na hakuna hatua zozote alizochukuliwa. Tatizo mnafikiri ni jukumu la Chadema kudai katiba hivi kama wananchi hawaitaji katiba chadema wafanye nini? Nchi yetu bado inatakiwa kuendelea na mfumo...
  12. chilumendo

    Nisaidieni ushauri kuhusu pesa ya kujikidhi(boom) niliyokuwa naitunza

    Fuata ndoto zako ili ndoto zikigoma ushindwe wa kumlaumu. Huo ukufunzi kwa experience yako huko chuoni ni rahisi kupata?
  13. chilumendo

    Hivi Scout ya Simba sc Inawafanya Mashabiki Wa SIMBA SC ni Mambumbu sana

    Yule yupo vizuri huwezi changanya na takataka fred
  14. chilumendo

    Mkuu wa Shule na Mzazi wa Mwanafunzi walinitengenezea zengwe hadi nikafukuzwa kazi

    Inaonesha wewe mwl ulikuwa karibu na huyo mwanafunzi, kuna shida mahali haiwezekani kila kiongozi awe against wewe
Back
Top Bottom