Search results

  1. J

    Idadi ya wachezaji wa akiba

    wasalaam napenda kuuliza hivi wachezaji wa akiba kwenye ligi ni wangapi wanaopaswa kuingia??
  2. J

    Naomba msaada wa kwenda kusomea uchungaji

    Bwana asifiwe,, Mimi ni muumini wa kanisa la wadvetista msabato katika maisha yangu nilikuwa na ndoto ya kwenda kusomea uchungaji tangu nikiwa shule ya msingi lkni nilipomaliza kidato cha nne nilitafuta nafasi nikaambiwa hawachukui kidato cha nne,,au labda nikafanye mtihani unaoitwa mature...
  3. J

    Mungu hafichi mnafiki (ccm $katiba)

    Maeneo ya kule kwetu mara kuna msemo unasema ""kiri omako ja juok" (ikiwa na maana kuwa kuna dawa ambayo ukimpa mtu kama ni mchawi lakini alikuwa anaficha,akinywa hiyo dawa anaanza kuropoka mambo yote aliyokuwa anayafanya kwa siri na kutaja watu aliowauwa/kupanga kuwauwa) hali hii...
  4. J

    Chadema wamebakiza jambo moja ili waingie ikulu

    mwaka 2015 ni mwaka ambao watu wengi wanaizungumzia kwa namna tofautitofauti kuna wanaotamani mwaka wafike haraka ili washudie mabadiliko katika siasa za nchi, kuna wengine hawaitamani mwaka huo ufike wakiwa hai kwa sababu wanafikiria yale ya kenya yasije kuwakuta kulingana na hali...
  5. J

    Nimejongea

    wapendwa naomba mnipokee
Back
Top Bottom