Search results

  1. J

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Tupo busy shambani kaka, Bado tunapambana. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. J

    Hivi kwanini Serikali isione haja ya watumishi wa umma kufanya kazi kwa mikataba ya muda mfupi?

    Mkataba mfupi ndio wa muda gani? Na je ni lazima watu wote waajiriwe? Walioajiriwa nao wanawatamani waliojiri wenyewe, Haloo haya maisha hayana usawa.
  3. J

    Ali Express wanatumia local delivery company gani Tanzania ukitoa Posta?

    Hapa unamchanganya huyu mdau, yeye anataka kujua mzigo wake anaupataje. Nadhani ungempa mawazo namna ya kufanya.
  4. J

    ONYO kwa wanaonunua simu humu

    Hongera kwa kuwa makini, watu wanafanya ubabaishaji wa hali ya juu. #Umakini bado unahitaji.
  5. J

    Dar coach hapa tuwape pongezi jamani

    Ubunifu wa hali ya juu sana. Naipongeza hii kampuni kwa jinsi wanavyo boresha mahitaji ya sisi wasafiri wa mabus. Tanzania ya viwanda bora inawezekana.
  6. J

    Yalitaka kutokea mauaji ya Halaiki Hapa Magomeni muda huu

    Natamani nione picture jinsi ulivyotupia hilo vazi...[emoji4]
  7. J

    Je, mwaka 2045 Tanzania inaweza kuwa na uchumi mkubwa kuliko nchi zote Afrika?

    Sidhani kama kuna ukweli wowote hapo. Tuwapite kwamba hao watakuwa hawajengi uchumi wao wanatusubiria sisi? sijui umepata wapi hili wazo?
  8. J

    Mimi Demiss nimemaliza mwezi bila kusex maajabu!

    Laiti haya yaliyoandikwa yangekuwa ya kweli... Sent using Jamii Forums mobile app
  9. J

    Baada ya kumtolea mahari, kejeli na kiburi vimeonekana wazi

    Nimetamani kufahamu uzoefu wako katika mahusiano, na lingine ni umri wako iliniweze sema ma/neno. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. J

    Natafuta chumba cha kupanga dodoma mjini

    wadau kwa anayejua sehemu chumba self contain kinapatikana Dodoma mjini, anijuze ni wapi pamoja na bei yake. Ahsante. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. J

    Natafuta chumba cha kupanga dodoma mjini

    wadau kwa anayejua sehemu chumba self contain kinapatikana Dodoma mjini, anijuze ni wapi pamoja na bei yake. Ahsante. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. J

    Natafuta chumba cha kupanga dodoma mjini

    wadau kwa anayejua sehemu chumba self contain kinapatikana Dodoma mjini, anijuze ni wapi pamoja na bei yake. Ahsante. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. J

    America na Ulaya watu weusi bado wapo, Je kwa nini Uarabuni hawapo?

    Karibia machozi yanidondoke kwakuona huu uonevu. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. J

    America na Ulaya watu weusi bado wapo, Je kwa nini Uarabuni hawapo?

    hii ni afrika-libya! ? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. J

    Tarime: Kijana apigwa risasi mguuni na polisi akimpelekea mgonjwa chakula hospitali

    Nafunga mdomo wangu hapa. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. J

    police kuna vijimambo.

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] Sent using Jamii Forums mobile app
  17. J

    WANAWAWAKE HAWA NI WAJINGA

    [emoji3] [emoji3] [emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  18. J

    Tuambie msosi unaoukubali sana

    Ndugu, napenda ndizi nyama za kuchemsha, zikiwekwa tui la nazi. Napenda sana nikipika pekeangu.[emoji4] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom