Hili la kufikishwa mahakamani ndani ya saa 24, ni kwa siku zote za juma? mfano umekamatwa Ijumaa, saa 24 zitaangukia siku ya jumamosi...ambapo ofisi na mahakama huwa zimefungwa...na jumapili yake.
utajikuta umekaa mahabusu bila kufikishwa mahakamani kwa saa mpaka 48 au zaidi...je hapo haki...
Tarehe 5 August, 2008 Maalim Seif alitamaka haya:
Zanzibar ni nchi na itabaki kuwa nchi Posted by zanzibardaima on Tuesday, August 5, 2008 · Leave a Comment
Maalim...
Utafiti umeonyesha kuwa, watu wanaoshiriki ngono mara kwa mara wana nafasi kubwa ya kuepukwa na maradhi ya moyo kuliko wale wasojishughulisha na tendo hilo.
Kwa uchache inashauriwa kufanya ngono mara mbili hadi tatu kwa wiki na sikuacha kwa wale wafanyao mara kwa mara wana nafasi ya 65% ya...
si sahihi kabisa...nayoipenda-ga!! sijui asili ya kuweka ga mwishoni mwa neno ilitoka wapi!!!??? mimi mwanzoni nilfikiri wasukuma ndio wanatumia ga kwenye kila neno la kiswahili, kumbe kuna wengine pia???
Wana jamii, hivi kuna sabuni amabyo ukiitumia mbu wanakukimbia? Maana nafahamu kuna "mosquito spay" ukijipulizia mbu hawa kugusi.
Je kuna sabuni ambazo ukiogea mbu hawakugusi?
Nilikuwa nikisoma jarida moja linkielezea ni vipi mwnamake anaweza kutunza matiti yake yasianguke nikaona ni bora wadau wapitie kipengele hicho na kunagaila ni vipi wanaweza kutunza ulimbwende wao.... hebu soma taarifa hii ifuatayo:
Yote Kuhusu Matiti
Swala la mazoezi ya matiti halijaanza...
KIGALI, Friday
Rwanda's presidency on Friday dismissed rumours that the country's leader Paul Kagame is dead.
The denial came amid reports of street celebrations in the Democratic Republic of Congo city of Goma, situated on the border with Rwanda, although it was not immediately clear what...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.