Search results

  1. Mrs Kharusy

    Nahitaji ushauri:: Nimpe penzi langu yupi kati ya hawa?

    Unaomba ushauri wa kufanya zina? Moto utakuchoma!
  2. Mrs Kharusy

    Rais wangu Magufuli, Pemba haiitaji mikwara na vitisho bali mashauriano na mapatano

    barafu umeandika mkuu....hainichoshi kusoma!
  3. Mrs Kharusy

    Kodi ya Asilimia 10: Kwa kila Tshs 1,000 ya kwenye Miamala, tshs 280 ni za TRA kuanzia Julai mosi

    Hio kodi tutakatwa mara ngapi? Mtu mshahara ukatwe kodi hela hio hio uitoe ATM benki wakate chao na Tra tena
  4. Mrs Kharusy

    Hotuba ya Kambi ya Upinzani kuhusu makadirio na matumizi Wizara ya Mambo ya Ndani

    Akili zako zinareflect ulichokiandika. Tunakuomba nextime usiquote page yote unatusumbua.
  5. Mrs Kharusy

    Nadhani huyu dada atakimaliza kifua changu

    Na bado hio adhabu yenyewe haswa ya uzinifu...zini tu!
  6. Mrs Kharusy

    Je, CCM ni wanafiki au wasahaulifu?

    Watu wanasoma alama za nyakati...
  7. Mrs Kharusy

    TRA: Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata, imeingia nchini kihalali, haitagawiwa bure

    Maskini tuna shida sisi!! Ndio wameweka mapambo shida yako nini? Hata wakiamua kuitosa baharini si yao?! Hemu kapige KAZI wacha kelele
  8. Mrs Kharusy

    TRA: Sukari iliyokamatwa Mbagala na Tabata, imeingia nchini kihalali, haitagawiwa bure

    Kwani issue ilikua ni uhalali wa kuingia nchini au ufichwaji ili sukari ipande bei/iadimike?
  9. Mrs Kharusy

    DC Hapi atembelea ghafla hospitali ya Mwananyamala usiku

    Mama leo lazima atembelewe na watu wa mapato[emoji1]
  10. Mrs Kharusy

    Udhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama

    Pasco,hivi kati ya hio michoro hapo juu kuna handaki lenye watumwa? Tulione hilo handaki au hio milango ndo mahandaki?!
  11. Mrs Kharusy

    Ni sahihi kwa Msimamizi wa Uchaguzi kuteuliwa Uwaziri?

    Ripoti ya uchaguzi? Ipi? Si mpaka awe ametoa hio ripoti!...zilikua mbwembwe tu..
  12. Mrs Kharusy

    CHINA: Uchaguzi wa Zanzibar ulikuwa huru na wa haki, yaahidi kuendelea kutoa misaada

    Marope kakumbuka kumwambia kwamba na sim za mchina(fake) mwisho ziwe kwenye mpaka wa jirani? By June hatutaki kuziona...
  13. Mrs Kharusy

    Japan yaanza kutumia treni ya kasi zaidi kupita chini ya bahari

    Tutafika au watafika?! Tutakuwepo kweli?
  14. Mrs Kharusy

    Ushauri kwa TCRA kuhusu zoezi la kusitisha matumizi ya simu bandia

    Kwa anaefahamu Naijuaje simu yangu kama imekidhi viwango vya TCRA?
  15. Mrs Kharusy

    Kwanini waende Sweden kula Pasaka na kuacha watoto 3?

    Kwi kwi kwi...je cha...
  16. Mrs Kharusy

    Fatma Karume: Dk Shein Siyo Rais wa Zanzibar

    ...wala jina....
  17. Mrs Kharusy

    Fatma Karume: Dk Shein Siyo Rais wa Zanzibar

    Hajitambui huyo..
  18. Mrs Kharusy

    Fatma Karume: Dk Shein Siyo Rais wa Zanzibar

    Kwa masilahi ya wazanzibari....
Back
Top Bottom