Search results

  1. PESAYAKO

    DAR kufanana na jiji la NEW YORK!

    Nashukuru mkuu Barry, pamoja sana tutafika na Tanzania yetu yenye neema kila kitu kinawezekana . Hakuna kukata tamaa mpaka kieleweke . Maendeleo hayaji kirahisi tunahitaji uzalendo na kufanya kazi kwa bidii na sio siasa za kushabikia majina ya watu badala ya sera nzuri. Tanzania yenye kila kitu...
  2. PESAYAKO

    Kipi bora, serikali kumiliki na kuendesha migodi au kukusanya kodi kutoka kwenye migodi?

    Mkuu hapo hakuna kilicho bora vyote vinahitajika. Tukianzana kodi ni muhimu maana kodi inayotokana na madini itasaidia kulipia huduma za jamii. umiliki wa migodi unahitajika kwani ukimpa mwekezaji tena wa kutoka nje akamiliki 100 per cent wewe hautafaidika na chochote kikubwa maana faida yote...
  3. PESAYAKO

    DAR kufanana na jiji la NEW YORK!

    Asante sana mkuu Barry ,mimi niko tayari kumsaidia mtu yeyote kwa mawazo au kuchangia kwenye mjadala wowote ili kuweza kufanikisha mipango ya maendeleo kwa Watanzania wote wapenda maendeleo. Tunahitaji kushirikiana na kuwa na moyo wa kutokukata tamaa .Pia tunahitaji kuangalia nini tunatakiwa...
  4. PESAYAKO

    DAR kufanana na jiji la NEW YORK!

    Mkuu Barry Dauda Jr Kama tukizipa nguvu Local Government Authority na zikawa na accountability kujua kuwa wakichezea pesa zetu wanawajibishwa na wakurugenzi wanakuwa wanakuwa na mikataba ya miaka mitano na nafasi zao zinatangazwa tunaondoa kuteuliwa na rais na independent firm zinausika kwenye...
  5. PESAYAKO

    DAR kufanana na jiji la NEW YORK!

    Asante mleta mada nimegundua kitu kimmoja ambacho kina haribu nchi yetu na kwakusoma wachangiaji wengi hawa hakiona bado. Kitu kinachotusumbua Watanzania ni mfumo mbaya wa uongozi na tatizo sio CMM. Hili ni tatizo kubwa na sio Tanzania tu Bali ni Africa kwa ujumla. Mfumo wa uongozi wa serikali...
  6. PESAYAKO

    Onyo kwa EAC kuhusu sarafu MOJA

    Naunga mkono suala la kutokuwa na sarafu mmoja kwasasa ni mapema mno. Kuna vitu ambavyo inabidi muwe mmevifikia kwa kila nchi ili muweze kuwa na sarafu mmoja. Vitu hivyo ni kama vifuatavyo; 1. Kuwa na central bank mmoja na ni kuajili ya kuangalia na ku shauri kuhusu mzunguko wa hela na kudhibiti...
  7. PESAYAKO

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    Naona mnaendeleza umaskini kujadili watu badala ya Sera!!!!!! Lini mtaacha huu upuzi wa Zito, Mbowe na sijui nani wakati tunaendeelea kuwa maskini wakati tuna kila sababu ya kupata maendeleo. Huu ni ujinga mtupu.
  8. PESAYAKO

    Tanzania tuache siasa za kizamani na tuwe na siasa endelevu (progressive politics)

    Nimeangalia kwa muda mrefu sana kwenye hili jukwa na pamoja kwenye social media zingine kama Twitter, Facebook, Bloggs nk. Mtindo ni mmoja tu Zitto Kabwe tu kumjadili utazania anatuwekea mkate kila siku asubuhi mezani. Huu ni upumbavu wa hali ya juu badala ya kujadili vitu vya kujenga hoja...
  9. PESAYAKO

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    Mbona Watanzania mnapoteza muda mwingi kujadili wanasiasa badala ya kujadili Sera(Policy) za hivyo vyama kwa mtaji huu Umaskini hautakwisha. Mtakuja kujuta kwanini mnapoteza muda kwenye kujadili watu wakati bei ya umeme inapanda, bei ya gas ya kupikia juu, umaskini unaongezeka kila kukicha. Hao...
  10. PESAYAKO

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    Vilevile huu ushabiki wa sijui Zito sijui nani ni upuuzi mtupu badala ya kutatua matatizo ya maisha mnapoteza muda na pesa zenu kumzungumzia mtu. Huu ni ujinga wa hali ya juu kuna watoto hawana madawati , madarasa na mavazi ya kuendea shule pamoja na wakina mama wajawazito badala ya kujadili...
  11. PESAYAKO

    Zitto aanika siri nyeti za Mbowe! Adai hatakufa kama Chacha Wangwe...

    Swali sio Chadema Wala CCM wananchi wa Tanzania wanatakiwa kuacha kushabikia watu Bali kuangalia chama gani kina Sera nzuri na kuangalia kilicho madarakani kinatekeleza Sera zake au ni kupotezea watu muda bila kuwapa maendeleo. Tunahitaji sana progressive politics na sio ushabiki kama wa mpira...
  12. PESAYAKO

    $523 million Dar port deal takes a new twist

    Yah ni kweli hii miradi ya Build Own Operate Transfer ni mizuri kwa long term benefits. Kwani Financial Model zake nyingi zinadepend on debt . Equity finance kwa miradi hii kwa kampuni binafsi ni ngumu mara nyingi institutional investors ndio ambao wanaweza kufanya kwa kutumia equity mara nyingi...
  13. PESAYAKO

    $523 million Dar port deal takes a new twist

    Financial model ya huyo investor ndio ambayo inadetermine muda wa kurudisha. Na mara nyingi PPP (Public Private Partnership) Project nyingi zinakuwaga Finance na debt kwa asilimia kuwa kwahiyo muda wa kumiliki wa miaka ishirini na tano ni reasonable. Contract ya hii ni BOT ( Build Operate...
  14. PESAYAKO

    Nakumatt set to take over Shoprite stores in Tanzania

    Wabongo mtabakia kulalamika badala ya kufikiria jinsi ya kuanzisha supermarket mnakuwa pessimistic mkizani hawa jamaa hawatafanikiwa huko ni kujidanganya . Napenda kuwataarifu future ya retail business iko kwenye supermarket . Nitakupeni mfano mmoja kuwa itafika kipindi mtakwenda wenyewe kununua...
  15. PESAYAKO

    Hisa za Mwanza Community Bank PLC: Speculators Mnasemaje??

    Mkuu usinichukulie vibaya . Mimi nilichosema wewe bado ujanielewa suala ni kuuza mapema zikishakwenda kwenye secondary market siyo kusubiri dividend atakayetaka kusubiri ni uhamuzi wake . Kununua ni wakati ziko kwenye primary market baada ya hapo unauza mapema zikipanda tu pindi zinapokuwa...
  16. PESAYAKO

    Hisa za Mwanza Community Bank PLC: Speculators Mnasemaje??

    Mkuu wewe haujaelewa suala ni jinsi ambavyo strategy zako ni muda mrefu kwa ajili ya income au wewe ni pure speculator huko kwa ajili ya gain ya muda mfupi. Naona mkuu umeandika mambo mengi ambayo yanadharia tupu ya darasani . Mimi ninawapa vitu ambavyo ni practical sio mambo ya theory hapa...
  17. PESAYAKO

    Hisa za Mwanza Community Bank PLC: Speculators Mnasemaje??

    Kwa kuongezea angali jinsi Maendeleo Bank baada ya kuwa listed kwenye secondary market shares value zake zimeongezeka kwa asilimia 20 yaani market value. Changamkieni fursa msingoje kesho maana opportunity come once. We call it arbitrage opportunity in finance. If you leave it someone will take...
  18. PESAYAKO

    Hisa za Mwanza Community Bank PLC: Speculators Mnasemaje??

    Mimi nakushauri nunua hizo Hisa hiyo bank itafanya vizuri nakuhakishia na ni bora ununue sasa hivi kwenye IPO - primary market zikishakwenda kwenye secondary market una cash in kwakuziuza kunauwezekano zikapanda kwa asilimia 15 mpaka 20 kipindi tu watakapo kuwa wameziweka kwenye secondary market...
  19. PESAYAKO

    Kwa nini Ujenzi wa Matofali ya Kuchoma hautumiki sana Dar ?

    Mimi naona ni mazuri na hata Dar yanaweza kutumika .Suala ni kwamba Tanzania tunatatizo la kutokuwa wazalishaji wazuri kwani hatutumii vizuri rasilimari zetu tunawezakuzalisha matofali mazuri tu ya kuchoma kwa kutumia nishati ya gesi ambayo tunayo na kikubwa cost inaweza kwenda chini kama tuna...
  20. PESAYAKO

    Tanzania needs these kinds of roads currently!

    Kilichopo Wala siyo kubomoa kila kitu ni kuangalia jinsi ya Kuboresha barabara tulizonazo na kuwa na traffic management inayoendana na mazingira usika . Siyo kila mji au sehemu zinaitaji flyover . Kunabaadhi ya sehemu kwa mfano kwenye suala la upanuzi wa miji mipya ndio unaweza kuweka mipango ya...
Back
Top Bottom