Search results

  1. M

    Viongozi & mashabiki wa Simba msilete ujuaji kwa kocha mpya

    Hii maana yake kama kocha anatakiwa kuingia kwenye mfumo wa mchezaji basi mchezaji anaweza kupanga hicho kikosi
  2. M

    Yafuatayo yatafanyika Simba SC kuelekea Msimu wa 2023/2024

    Mkuu nani anafata maana mtililiko wako kama unajua yupi anakuja kwa muda huu
  3. M

    Mrembo Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Masoud Kipanya

    Mswati hawezi kufikia record ya kile chuma kwa kuchakata atakuwa alipiga 2000 na usheeeee
  4. M

    Mrembo Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Masoud Kipanya

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] David The Great
  5. M

    Mrembo Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Masoud Kipanya

    Bora yeye mshua wake alikuwa anapiga mpaka wa wasaidizi wake akiona mzuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kitaa tunasema like father like son
  6. M

    Mrembo Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Masoud Kipanya

    Mzee alikuwa kauzu kinoma hataki watu wale starehe kama yeye[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndio wale wazee wanaosema mtoto hana ruhusa kula firigisi
  7. M

    Hatimaye uhusiano wangu umefikia mwisho...

    Jamaa sio yeye kweli ambae ulitua kwenye maji bukoba kwa stress za mrembo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. M

    Hatimaye uhusiano wangu umefikia mwisho...

    Jamaa sio yeye kweli ambae ulitua kwenye maji bukoba kwa stress za mrembo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. M

    Mzee Yusuph amkataa mtoto aliyedai ni mwanae wa nje ya ndoa

    kwahiyo dogo ana baba wawili nusu bao la mzee nusu bao la mbabe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. M

    Mzee Yusuph amkataa mtoto aliyedai ni mwanae wa nje ya ndoa

    Jamaa anajitia amejizima data kabisa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  11. M

    Hivi kweli kumuona Nabii Mussa wa Kimara ni Tsh. 100,000/=?

    Waislamu ndugu zetu michezo ya pesa mnajua unaweza kupigwa na viboko kwa drama kama hizo
  12. M

    Unapoenda kuabudu kwa kuhani Musa Kimara Temboni zingatia haya

    Mkuu mimi mwenyewe nimekulia kwenye mazingira ya seminary......Yani muda wa matangazo nasepa ndio sembuse more than eight hours aiseeeee siwezi
  13. M

    Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

    Mkuu mimi mseminary nimekuwa kwenye misingi hiyo ....hakuna maombi bora kama kujisafisha mwenyewe na kuomba kwa Baba wa Mbinguni ........Imani thabiti ipo ndani yako wewe mwenyewe hawa sijui nabii mara mtume au mara kuhani ......tunapoenda hatujui maana unaweza kusema huyu mlevi ameingia vipi...
  14. M

    Kuhani Musa Richard Mwacha ni nani?

    wewe utakuwa kuhani musa mwenyewe hebu acha blah blah kutuchosha ........Mungu wa kweli ukiwa msafi na imani thabiti ukiomba muda wowote anakusaidia acheni biashara zenu hizo kuna maswali mtakuja kuulizwa after life
  15. M

    Rappers waliokufa kwa kupigwa risasi

    King Von
  16. M

    Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Jamaa anataka kutununua hili kusoma kama vile mikataba ya waarabu kwa bandari hii Hapana kwa kweli Bora tukomae humu
  17. M

    Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

    Mangungu yupo kiberege .....wakike yupo malinyi mkuu.Uncle wangu alikuwa mbui mkubwa sana alikuwa bado kijana na yeye habari kutembea peku na kuvaa kaniki muda wote pamoja kuwa na kibwenzi mbele na nyuma akaona michosho akaacha akawa anaenda church mizimu ikapita nae..alifanya kazi kipindi...
  18. M

    Kipi ni chuo bora kwa kozi za Engineering kati ya UDSM,DIT na MUST ?

    Unajua COET vizuri hile ilikuwa inatwa FOE imeazishwa mwaka 1973 kipindi hicho hiyo hicho chuo za mafundi mchundo DIT( DTC) takataka
  19. M

    DIT vs UDSM(COET) projects

    Mkuu watoto hawajui kitu tatizo wakishasoma hizo diploma za kunga unga wanafananisha na COET
Back
Top Bottom