Search results

  1. hoter.one5

    Tunahitaji watu waliosomea house keeping veta (2 post)

    Habarini kampuni ya TEN ASSOCIATES inawatangazia umma kuwa tuna nafasi mbili wazi kazi ya usafi ofisini muombaji awe na cheti kutoka VETA Fani ya HOUSE KEEPING tuma maombi yako kupitia anuani ifuatayo Ukiambatanisha vivuli vya vyeti vyako pamoja na cv yako kwenda anuani hii hapo chini MANAGER...
  2. hoter.one5

    Wenye vyeti vya mafunzo ya Labour Base wanahitajika 3

    Habarini wadau, Kuna mdau anahitaji mtu mwenye cheti cha labour base kwaajili ya kufungua nae kampuni ya labourbase contractor kama upo tayari njoo ni kulink nae wakiwaa tatatu itakuwa vizuri zaidi maana wadau ni wengi kulingana na soko la specialist contractors kwenye indutry ya ujenzi wa...
  3. hoter.one5

    Karibu tukuandalie na ujifunze namna ya kuandaa Mpango biashara

    Mpango wa biashara ni andiko linalofafanua namna ya biashara mpya itakavyo anzishwa aunamna itakavyopanuliwa,kuboreshwa ama kuundwa upya. Mpango huanza kwa uchambuzi wa soko na mazingira ili kutambua fursa na changamoto ambazo biashara itakumbana nazokatika kuanza ama kupanuka MPANGO WA BIASHARA...
Back
Top Bottom