Yes.
Hapa sasa umesomeka vizur sana.
Umezungumza yale nliyokua nayo kichwan lkn nkashindwa kuyaandika.
Sabab mm pia ni mhandisi wa umeme ila nlivyomaliza chuo nkaacha gamba nyumban nkaamua kujifunza kazi.
So naongea nnachokiishi.
Kubali kueleweshwa mkuu.
Hizi level za elimu zimegawanywa kwa maksudi. Kuanzia artisan mpaka engineer. Artisan mara nyng huwa anakomaa na kitu kimoja mpaka anamaliza veta na anatoka anakijua vzuri.
Ila engineer akiwa chuo huwa anagusa kila kitu juujuu. Maisha baada ya chuo ndo yanampa mwanga wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.