Search results

  1. R

    Waziri mkuu mizengo pinda ni mtoto wa mkulima kweli?

    Ndugu wanajii, Tumekuwa tukumsikia waziri wetu Mkuu Mhesimiwa Mizengo Pinda akijiita kuwa yeye ni mtoto wa mkulima na hivyo anapinga vitu kadhaa ambavyo vinaongeza matumizi yasiyo ya lazima ya pesa za umma. Kwa mfano aliwahi kuhoji juu ya ununuzi wa magari ya kifahari kwa watendaji waandamizi wa...
  2. R

    Ndege ya ATCL Yapata Kizaazaa Mwanza

    Poleni wahanga wa ajali hiyo.
  3. R

    Uchaguzi 2010: Zitto, Mbatia wajitosa Ubunge!

    Hata mimi najiandaa kugombea Ubunge jimbo la kigoma Mjini kupitia Chadema. Naombeni mnipe changamoto mbalimbali za kuwa addressed ktk jimbo hili.
  4. R

    Refa Asimamisha Mechi, Akojoa Live Uwanjani

    Ungekua wewe ndio huyo refa na umebanwa na mkojo uwanjani ungefanyaje? Ngoja tusikie shrikisho la soka la QUATAR juu ya hatua waliyomchukulia.
  5. R

    Jamani nisaidieni kazi yoyote!!!

    Hongera kwa kuwa muwazi. njoo kigoma kazi zipo zinatafuta wafanyakazi.
  6. R

    Hivi, Zanzibar ingekuwaje bila ya Muungano?

    Hoja za namna hii ni za uchochezi na zinahatarisha muungano wetu. Swali hilo ni sawa na mtu kujiuliza "Hivi mimi ningezaliwa Ulaya ningekuwaje? Tutafute hoja zingine za msingi.
  7. R

    Mfumo wa inteview za kazi Tanzania ni aibu hata kwa taifa

    Wanataka per diem hao. hawna lolote!
  8. R

    Mambo ya Bongo haya.....balaa

    Usiite MV.Liemba mkangafu! Mi nafanya kazi humo. Mbona usafiri iko poa tuu! Njoo usafiri na Liemba uone kitu cha tangu 1914 kinavyo kata maji.
  9. R

    Kuoga na mume au mke wako...

    Mi sioni problem kabisa kwani kila mtu anastaili ya maisha yake. Kama kuoga na waifu kuna wafanya mshikamane zaidi hiyo nzuri ila kama ni uswazi na nymba zenyewe za kupanga bafu moja halafu chafu sana sijui inakuwaje hapo?
  10. R

    Biharamulo: Kampeni, kura na matokeo!

    Hayo ni mambo ya ndani ya chama. Kama kuna masaliti ni vizuri kumpiga chini. Kitu muhimu ni kama huyo muheshimiwa amemtimua baada ya kumpa nafasi ya kujieleza au ni kwa majungu na chuki binafsi maana CCM wanaongoza kwa kupigana majungu.
  11. R

    Serikali ya Tanzania ovyo sana

    Mageuzi/mapinduzi yoyote huletwa na wananchi/raia/tabaka la chini kabisa baada ya kuchoshwa na vitimbi vya watawala. yaani muda ukifika utaona kila mtu anachukua hatua. Haihitaji wasomo wengi. Angali mapinduzi ya Ufaransa, Uingereza, Marekani na Urusi.
  12. R

    Serikali ya Tanzania ovyo sana

    Inaonekana unaupeo mpana ndugu. unaonane nawewe mwakani uchukue fomu za Ubunge au udiwani ili uingie kwenye system urekebishe uozo huo? Tafakali!!
  13. R

    Kwanza Kilimo?

    Nakubaliana na hoja yako kwamba "kilimo kwanza" bila mikakati ya kimiundombinu na wakulima kuandaliwa vya kutosha ni kaulimbiu isiyo na strategy hivyo itabaki midomoni mwa hayo mawazili na wabunge ambao wengi wao tangu kuzaliwa kwao hawajui jembe linashikwaje? Hivi huyo mkulo anashamba huko kwao...
  14. R

    Mapenzi ni

    Acha mada za mapenzi ndugu. Zinaharibu maadili yetu. Huwezi kuongelea kitu kingine tofauti na hayo mapenzi? Mambo yote sasa hivi ni "KILIMO KWANZA" Hebu soma bagdet ya nchi kwanza uone kama mapenzi yamo.
Back
Top Bottom