Search results

  1. Danpol

    Anasubiria walisahau Ili ajiuzie ndio maana amelificha kichakani

    Linamuonekano wa Nissan Patrol zaid kuliko Landcruiser Anyway niko namwagia moyo hapa pengine n pombe
  2. Danpol

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Unaishi dunia ya wapi ndugu [emoji1787][emoji1787], 25k inakua balaa ?
  3. Danpol

    Non alcohol wine naipata wapi?

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  4. Danpol

    Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Uko kwenye ligi yako mkuu , hongera
  5. Danpol

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Natumia galaxy s20 I think camera yake inajitosheleza
  6. Danpol

    Angalizo wababa: Mtoto wa kambo si wako, usitarajie haki zisizokuwa zako

    Nimelelewa na Baba wa kambo , namheshimu kuliko binadamu yeyote chini ya jua , akikoa tu navunja kibubu Mama anaweza hitaj pesa nikamwambia subiri au sina likn sio mzee Hatufanani
  7. Danpol

    Non alcohol wine naipata wapi?

    Kunywa juice ya zabibu
  8. Danpol

    Tazama logo/nembo na posters nilizozidizaini

    Logo unatengeneza kwa bei gani
  9. Danpol

    Nampenda sana lakini ananisaliti mara kwa mara

    Wewe ni lofa Wewe ni fala Wewe ni boya Wewe ni kiazi Rudia mara 10
  10. Danpol

    Orodha ya majiji, miji na wilaya zenye mzunguko mkubwa wa hela Tanzania

    Kwahiyo ukijumlisha 36.5 + 47.2 +27.8 na 10.7 unapata 75.2 ??? Shule ulisomea ujinga? Na ilala iko wapi?
  11. Danpol

    Leo nataka tuweke Ushabiki wetu wa Simba na Yanga pembeni na tulijadili hili Kiuanamichezo kwa Faida ya Soka letu

    Hata Roman Abramovich hela aliyotumia kuinunua Chelsea ni ndogo kulinganisha na fedha ambayo Chelsea ilipata katika udhamini wa Yokohama Tyres Mambo ya Biashara yaheshimiwe kidogo [emoji41] Popoma ww
  12. Danpol

    Ukitaka kuishi vizuri Dar es Salaam ishi Kigamboni

    Ipo, Barabara ya kwenda cheka/geza .. haiko mbali sana na ofis za manispaa zinapojengwa
Back
Top Bottom