Search results

  1. Mwadunda

    Uwajibikaji wa Taasisi na Mashirika ya Umma.

    Katika awamu ya tano kuna dhana imejengeka kuhusu ustawi wa uwajibikaji wa Serikali, ila kiukweli hakuna ustawi wa aina yeyote hasa katika swala la huduma kwa wateja, yaani unaingia ofisini kuhitaji huduma fulani ila lugha na muda wa kupata hiyo huduma ni changamoto sana nadhani kwa mwananchi wa...
  2. Mwadunda

    Mwongozo wa biashara ya Duka la Dawa (Pharmacy)

    Tafadhali kwa watu waliopo kwenye tasnia ya afya kibiashara, kikazi au kitaaluma naomba kufahamu taratibu za kufungua pharmacy.
  3. Mwadunda

    Mhudumu wa Pub anahitajika

    Natafuta wasichana wawili wa kuuza Pub maeneo ya Mbezi mwisho, Anaeweza an PM
  4. Mwadunda

    Economists msaada tafadhali

    Jamani wanauchumi msaada wenu apa kwenye hili swali. -Draw hypothetical supply and demand curve for tea show how the equilibrium price and quantity will be affected by each of the following. 1: bad weather damage with the tea crop, 2; a medical report implying tea is bad for your health is...
  5. Mwadunda

    Alimanusura niuvae mkenge...!

    Habari wana MMU.....! Mwenzenu bana nlivyokuwa chuo nilikuwa na rafiki wa kike ambaye nilizaa nae palepale chuoni haikuwa adhma yangu ila ilitokea, baada ya kugraduate mapenzi y a simu ikabidi yahusike mwanangu alivyoacha kunyonya nikamchukua mawasiliano ya mimi na mzazi mwenzangu yalipungua...
  6. Mwadunda

    Mkataba wa Ngasa na Simba

    Kiukweli mpira wetu Tanzania sijui kama utaweza kuendelea miaka ya hivi karibuni labda kwa kizazi kijacho, Sijui kwanini timu kongwe kama simba kupeleka mkataba wa Ngasa polisi mambo ya michezo yanaishia kwenye kamati za michezo hebu tubadilike jamani Simba timu yangu ila siungi mkono hili swala...
Back
Top Bottom