weka vigezo hapa. hiyo ni kazi kama kazi nyingine
na sketi fupi kama ya mtotoAje na openner na mkasi wa kukatia viroba, duster...., elimu yoyote. Aweze kuongea na kuelewa kiswahili.
na sketi fupi kama ya mtoto
Aje na openner na mkasi wa kukatia viroba, duster...., elimu yoyote. Aweze kuongea na kuelewa kiswahili.
Natafuta wasichana wawili wa kuuza Pub maeneo ya Mbezi mwisho, Anaeweza an PM
Kwani amekosea wapi? kwani hakuna wanaotafuta kazi za hvyo mpaka unamtukana? mbona kwenye kazi zingine mnalalamika wakiweka ndugu zao kama ulivyomwambiakwa nini usimweke MKEO/ ,MCHUMBA WAKO/, MDOGO WAKO WA KIKE..,.,.nyambafu wewe
Natafuta wasichana wawili wa kuuza Pub maeneo ya Mbezi mwisho, Anaeweza an PM
nipo tayari 0713198959Natafuta wasichana wawili wa kuuza Pub maeneo ya Mbezi mwisho, Anaeweza an PM