Search results

  1. donniebrasco

    Kagera: Kimondo chadaiwa kudondoka Bukoba

    Kimondo kingedondoka Kemondo ingependeza zaidi
  2. donniebrasco

    Nimemnunulia mwanangu juice ya kiwandani, mtu anadai ina sumu. Hii kasumba tunaitoa wapi?

    Vitu hatari sana hivyo vya viwandani kama kuna uwezekano epukana navyo kadri uwezavyo. JITAHIDI KWENYE HII DOZEN 1.IBADA za moja kwa moja kama SALA na FUNGA. 2.Fanya MAZOEZI. 3.Chai weka ASALI siyo SUKARI 4.JUICE tengeneza mwenyewe. 5.MAFUTA ya kupikia pia punguza sana. 6.Punguza VILEVI NA...
  3. donniebrasco

    IGP SIRRO , KWELI?

    Mi niko busy naisaka bilioni
  4. donniebrasco

    IGP SIRRO , KWELI?

    Mi niko busy naisaka bilioni
  5. donniebrasco

    Wenye weledi wa swali hili kwenye usahili

    Huwezi kusema "....kuvuka chini ya ......" ni makosa, ungesema "..hawakushuka chini ya...." Pia juu umeandika kwenye kichwa cha habari ".. ili.." badala ya "..hili.." Tena ukaandika " tahaluma" badala ya "taaluma". Sasa hilo ni tatizo ndugu yangu tena kubwa inabidi mtu ujitahidi kuongea na...
  6. donniebrasco

    Maneno mazuri na Shule ya maisha katika biblia

    Kweli kabisa lakini kufanya kazi za halali ni muhimu wakati tukimtegemea MUNGU. MUNGU anapenda tujitahidi kwa maarifa yetu yote na nguvu zetu zote aliyotujaalia kwenye maisha yetu halafu tunaposhindwa kabisa ndio huwa anafanya miujiza yake. Lakini hata wakati wa tukitumia maarifa yetu na...
  7. donniebrasco

    Mnaohoji kuhusu Ruzuku ya Chadema kokotoa bei ya hizo Gari za chama

    K Kwani si kuna ofisi pia zingine zimejengwa kwa msaada
  8. donniebrasco

    Shairi la "Mo" wetu

    Kwani malenga alikuwa ni mtu!? Mi nilivyokuwa nikijua malenga ni neno linalomaanisha mtunzi wa mashairi
  9. donniebrasco

    Shairi la "Mo" wetu

    Huwa napenda kujitahidi kidogo kutungatunga japo sikusomea lugha kabisa napenda mashairi
  10. donniebrasco

    Shairi la "Mo" wetu

    Inategemea atakeyetaka kuflow au kuimba poa tu
  11. donniebrasco

    Shairi la "Mo" wetu

    Nina Imani atapatikana, Mfanyabiashara kijana, Machoni hajaonekana, Tunahuzunika sana. Tunamuomba JALALI, Sana kwake tunasali, Atuoneshe hata mahali, Tuna maumivu makali. Polisi wetu wanajitahidi, Na wanaongeza spidi, Na pia raia wema ikibidi, Watoe wao ushahidi. Vikosi vyote viko kazini...
  12. donniebrasco

    Bomu la Nyuklia la USSR (Urusi ya zamani) lililoishangaza Dunia

    Siku hizi hakuna haja ya kuwa na mabomu makubwa! Zamani ilikuwa shida kupiga target kwa umakini wa hali ya juu ndio maana wakatumia mabomu makubwa sana! Siku hizi mabomu yanaweza kupinpoint target kwa hivyo hakuna haja ya kuyafanya makubwa hivyo
  13. donniebrasco

    Polisi Dar wamsaka Mo Dewji Bahari ya Hindi ; Waziri Lugola kufanya kikao leo

    Kumbe kwake ni maeneo ya Laibon sio Kenyatta Drive!?
  14. donniebrasco

    Tusio na kazi tukutane hapa

    Kutokuwa na kazi ni kazi kubwa sana!!
  15. donniebrasco

    Al Pacino vs Robert De Niro

    Kwa wapenzi wa filamu za Hollywood watakuwa wanawafahamu hawa manguli wawili ambao wamekuwa wakituburudisha kwa miaka mingi sana. Al Paccino na Robert De Niro watatokea tena pamoja kwenye filamu ya Martin Scorsese inayoitwa The Irishman itakayotoka 2019 Waliwahi kutokea kwenye filamu ya...
  16. donniebrasco

    Dewji hana Hela Cash, siyo Bilionea kihivyo!

    Sijui wewe ulitaka kutoa mfano gani lakini kusema kuwa RT huwa wanawaona Marekani wabaya sio kweli kwa hivo unaweza kubadili mfano
  17. donniebrasco

    Dewji hana Hela Cash, siyo Bilionea kihivyo!

    Wewe tulia hujui habari za Urusi na Marekani. Ubaya gani ambao RT ulishawahi kuwa ni wa uongo dhidi ya Marekani!? HUJUI umuhimu wa Urusi kwenye Amani ya dunia hivyo tulia.
Back
Top Bottom