Search results

  1. Dogo Tundu

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Unaweza nichek kwa namba hii 0784222249.
  2. Dogo Tundu

    Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Mkuu unaweza nichek kwa hili suala. Assnye
  3. Dogo Tundu

    Natafuta kazi/ nina uhitaji wa kazi

    Mbona hakuna mawasiliano?
  4. Dogo Tundu

    Ninahitaji mbunifu na mshoni wa nguo za kike na kiume

    Nitafute ndugu, kwa nguo zote za kiume, suits, kaunda, khadet na mashati pia suits za kike. Hutajuta kutufahamu. Karibu
  5. Dogo Tundu

    Graphics Designer naomba natafuta kazi

    Mbona hujaacha mawasiliano sasa.?
  6. Dogo Tundu

    Naibu Gavana wa Benki Kuu ni nani? Anapatikana vipi?

    Duuu! Hivi hata kwenda Google tu kupata habari ni kazi nzito hivyo….!
  7. Dogo Tundu

    Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

    Wewe Ni POYOYO Kushindana na dola kunamsaidia nini Mbowe na upinzani kwa ujumla! Kupambana na mwenye nguvu ya kimamlaka kama Mh. Rais panalisaidia nini Taifa. Wewe Ni POYOYO at your best level
  8. Dogo Tundu

    Rais Samia, kiingereza cha Waziri wa Elimu kinatia doa Wizara ya Elimu

    Ni bahati mbaya wanaotetea kutokujua kingereza siyo hoja ya msingi na kwamba hata wachina hawaongei kingereza, mimi nasema hivyo tukitaka kuachana na kingezera basi tuachane na kila kitu cha mzungu. Huwezi kusoma darasa la kwanza mpaka form six then chuo kwa kutumia hicho kingereza halafu...
  9. Dogo Tundu

    Siri iliyofichika nyuma ya Sumaye na Lowassa kurudi tena CCM

    MWAISEMBA CR, Hizi ngojera zingine bhana
  10. Dogo Tundu

    Siku hii Dream itakapotimia: JF Members SACCOS LTD

    Mkuu TheLobbyist kama tumekubaliana wazo ni zuri pasi na shaka, napendekeza tukutane this Sunday Saa 8. Venue chagueni ila maeneo ya sinza, wenge au kijitonyama are more convenient
  11. Dogo Tundu

    Siku hii Dream itakapotimia: JF Members SACCOS LTD

    Time frame ni muhimu sana kwenye jambo la muhimu kama hili TheLobbyist
  12. Dogo Tundu

    Siku hii Dream itakapotimia: JF Members SACCOS LTD

    Mkuu nimekuandikia hapo juu. Naamini kwenye utekelezaji wa wazo linapokuwa la moto Kama hili. What’s way forward so far.
  13. Dogo Tundu

    Siku hii Dream itakapotimia: JF Members SACCOS LTD

    Mkuu wazo ni zuri sana napendekeza wachache tukutane tulioko Dar tuweke hili jambo sawa halafu tuwashirikishe wengine kwa utekelezaji. Kwa uzoefu wangu watu wengi wanapenda kuona wazo likiwa hatua za utekelezaji. I stand to be corrected
  14. Dogo Tundu

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Mkuu bado unayo Hiyo simu, tafadhali nitafute haraka tufanye biashara
Back
Top Bottom