Search results

  1. Chadema Diaspora

    Mdude azungukwa na Wasiojulikana Hospitalini

    Watu wasiojulikana Mkoani Mbeya tangu Jana wanazingira eneo ambalo Mdude Nyagali - CHADEMA amelazwa. Huyu ni mmoja wa hao watu ambao nia yao haijulikani. Makamanda mnashauriwa kuwa makini na watu wanao kuja eneo ambalo Mdude amelazwa. Picha ni mmoja ya walio mzingira Mdude Hospitalini.
  2. Chadema Diaspora

    Mh. Lissu akutana na Congressman, Brad Sherman

    Mh. Tundu Lissu akutana na Congressman, Brad Sherman leo Washington D.C. Wameongelea juu ya changamoto za demokrasia Tanzania na Haki za binadamu. Congressman Brad ameahidi kufanyia kazi na kuweka uwazi juu ya demokrasia na haki za binadamu zinavyo kandamizwa Tanzania. Mh. Lissu anaendelea...
  3. Chadema Diaspora

    Tundu Lissu awasili Washington DC, Marekani

    Mh. Lissu amewasili Washington D.C. leo salama akiwa ameongozana na mke wake. Mh. Lissu ataanza ziara yake kesho Jumanne, February 5, 2019. Kesho asubuhi amepangiwa kuzungumza katika Chuo Kikuu cha George Washington kilichopo katikati ya mji mkuu wa Marekani, Washington D.C. Mada ya mazungumzo...
  4. Chadema Diaspora

    Lissu Alert: Ratiba ya Lissu na Watanzania USA

    Jumamosi, February 9, 2019 atakua Washington DC. Jumapili, February 10, atakua Houston, Texas. Soma vipeperushu kwa taarifa zaidi.
  5. Chadema Diaspora

    Tundu Lissu kuongea George Washington University USA

    Jumanne, February 5, 2019 saa 9:00 hadi 10:30 asubuhi, Mbunge Tundu Lissu atakua na maongezi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha George Washington kilichopo makao makuu ya Marekani, Washington D.C. Topic ya maongezi ni "Tanzania's Democratic Challenge”
  6. Chadema Diaspora

    Mkakati wa kumchafua Mbunge wa Mbeya ‘sugu’

    MKAKATI WA KUMCHAFUA MBUNGE WA MBEYA MJINI JOSPEH MBILINYI “SUGU” Imeundwa fake account ya tweeter ambayo inaonyesha “SUGU” akimjibu mzazi mwenzake. Ipuuzeni. Ni fake account. Mh. Joseph Mbilinyi hana account kama hiyo. Hata kwa kuiangalia inaonekana ni fake. Pia, account hiyo haipo hata...
  7. Chadema Diaspora

    Wakili Mtetezi wa Lissu, Fatma Karume atua Nairobi kumjulia hali mteja wake

    Mapema Leo hii Wakili Msomi na Mweka hazina wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS) Ndugu Sadock Magai sambamba na Wakili wa Mh. Tundu Lissu katika kesi zake za uchochezi na Mtoto wa Rais Mstaafu Bi Fatma Karume walipata nafasi ya Kumjulia hali Mh Lissu hapa Nairobi Hospital.
  8. Chadema Diaspora

    Kesi ya mbunge wa Mbarali yafutwa

    Imefutwa leo ambapo Jaji Ngwala ameamua kuiondoa kesi hiyo kwa kukosa kiambatanisho chenye kielelezo cha matokeo. Kesi hii ilikua bado haijaanza kusikilizwa; ilikua kwenye hatua za kutajwa. Upande wa mashtaka umenukuliwa ukisema watakata rufaa.
  9. Chadema Diaspora

    KESI ZA UBUNGE MBEYA KUANZA KUSIKILIZWA JAN 13, 2016

    BREAKING NEWS: KESI ZA UBUNGE MBEYA KUANZA KUSIKILIZWA JAN 13, 2016. Mkisi-Vwawa, Zella-Mbeya Vijijini, Silinde-Momba na Mwang'ombe-Mbarali zitaanza kuunguruma Jan 14, 2016. Kesi ya Mwambigija-Rungwe itaanza Jan 13, 2016. Kesi za ubunge Mkoa wa Mbeya mahakama inakua haitoshi. Leo ilibidi watu...
  10. Chadema Diaspora

    Kesi ya ubunge: Joseph Haule (Prof Jay) amgalagaza mgombea wa CCM

    Mahakama Kuu kupitia Mheshimiwa Jaji, Ignas Kitutsi, asubuhi hii imetupilia mbali Maombi Madogo ya Kesi ya kuomba kupunguziwa gharama za dhamana ya kesi (security for cost) iliyofunguliwa dhidi ya Mbunge, Joseph Haule "Prof Jay"; na mpinzani wake, Jonas Nkya. Mahakama kuu imetupilia mbali kesi...
  11. Chadema Diaspora

    Kesi 6 Ubunge Mbeya, ya Mwakyembe yafutwa

    KESI ZA UBUNGE MBEYA LEO Kesi ya Kyela; Mwamanyaki vs Mwakyembe imefutwa rasmi kwa mshtaki kushindwa kulipa 3M ya dhamana ya kesi Jaji ameamulu Mwamanyaki alipe gharama zote za kesi kwa washtakiwa watatu: -Mkurugenzi aliye tangaza matokeo -Mwanasheria Mkuu wa serikali -Aliye shinda ubunge...
  12. Chadema Diaspora

    Kesi za ubunge mbeya kutajwa jumatatu, dec 28, 2015

    KESI ZA UCHAGUZI-UBUNGE MBEYA Kesi tano zimeshalipiwa gharama "security for cost" na zitatajwa Jumatatu, Dec 28, 2015 Mahakama Kuu Mbeya. KESI ZILIZO LIPIWA NA ZITATAJWA JUMATATU; Kesi ya Mwambigija-Rungwe Kesi ya Mkisi-Vwawa Kesi ya Mwang'ombe- Mbarali. Kesi ya Dr. Siame- Momba Kesi...
  13. Chadema Diaspora

    Maamuzi kesi za ubunge Mbeya

    Maamuzi ya kesi ndogo ya gharama za kesi yalikua hivi; Mwambigija-Rungwe Mashariki; ameamuliwa alipe kiasi alicho omba, 1M kwa kila mjibu mashtaka, kama security for cost. So, atalipa jumla 3M Mwang'ombe-Mbarali ameamuliwa alipe kiasi alicho omba, 1M kwa kila mjibu mashtaka, kama security for...
  14. Chadema Diaspora

    Kesi za uchaguzi-ubunge mbeya

    KESI ZA UCHAGUZI-UBUNGE MBEYA Kesi ndogo nne za gharama ya kesi za uchaguzi zimeendelea kusikilizwa leo katika mahakama Kuu Mbeya. Kesi ya Mwambigija-Rungwe, Mwamanyaki-Kyela mjini, Mkisi-Vwawa na Mwang'ombe- Mbarali. Kesi ya Mwang'ombe-Mbarali imeahirishwa hadi Thursday Dec 10. Kesi ya...
  15. Chadema Diaspora

    Kesi ya ubunge Mbarali kufunguliwa Jumanne

    Baada ya kufunguliwa kesi mbili wiki hii, kesi ya Mwamanyaki na Mwambigija; Kesi ya ubunge jimbo la Mbarali kufunguliwa Jumanne Mahakama Kuu Mbeya. Hii itakuwa inafikisha idadi ya kesi 3 hadi sasa za Ubunge zilizo funguliwa mkoa wa Mbeya. Wana wa Mbeya, tunaomba tupeane taarifa na tujitokeze...
  16. Chadema Diaspora

    Rushwa ya uchaguzi Mbarali

    Kikosi cha ulinzi CHADEMA,Red Briged, Mbarali chakamata vifaa vyenye picha ya Magufuli vikigawiwa usiku huu kuwahonga watu wampe kura Magufuli. Kamanda wa Red Brigedi Mbarali amethibitisha tukio hili. Kwa sasa Red Breged Mbarali wanaendelea na msako kuzuia rushwa hii ya uchaguzi. Muda huu Red...
  17. Chadema Diaspora

    Lowassa kuunguruma Mbarali Jumapili

    Mh. Edward Ngoyai Lowassa atakuwa Mbarali Jumapili, 18/10/2015. Atafanya mkutano moja viwanja vya Barafu, Rujewa, kuanzia saa 3:00 Asubuhi. Sambaza ujumbe huu
  18. Chadema Diaspora

    ITV imepotosha habari ya usiku juu ya Magufuli

    ITV IMEPOTOSHA HABARI YA USIKU Nipo Mbarali na nimeshuhudia mikutano ya Magufuli. Kilicho onyeshwa ITV ni tofauti na uhalisia. Mikutano ya Magufuli Mbarali leo haikuwa na watu wengi kama ilivyo onyeshwa ITV. Pia nimeshuhudia watu wakisombelewa kwenye magari. Pichani ni hali halisi kwenye...
  19. Chadema Diaspora

    Mbio za ubunge: Kijana Liberatus Mwang'ombe, aendelea kuwa gumzo Mbalali Tanzania

    KIJANA KUTOKA MAREKANI AENDELEA KUWA GUMZO TANZANIA Ni Liberatus Mwang'ombe aka "Libe" au wenyewe wana wa Mbarali wanamuita "Mnyamwezi" amekua kivutio kwa vijana, wazee, wakina mama na kina dada. Mh. Mwang'ombe amekua akizoa kundi la watu kila sehemu anayo tembelea. Vipeperushi vya Mh...
  20. Chadema Diaspora

    CHADEMA Mbarali yaipa siku 7 Star TV

    Mkiti wa CHADEMA Wilaya Mbarali, Peter Mwashiti, amemuagiza mwandishi wa habari Star TV kukanusha habari alizo andika kua CHADEMA imeungana na ACT Mbarali. Amempa siku saba kukanusha habari hizo kupitia Star TV ile ile, vinginevyo atamchukulia hatua Mh. Mwashiti ameongea hayo alipokuwa kwenye...
Back
Top Bottom