KESI ZA UBUNGE MBEYA KUANZA KUSIKILIZWA JAN 13, 2016

Chadema Diaspora

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
480
644
BREAKING NEWS: KESI ZA UBUNGE MBEYA KUANZA KUSIKILIZWA JAN 13, 2016.

Mkisi-Vwawa, Zella-Mbeya Vijijini, Silinde-Momba na Mwang'ombe-Mbarali zitaanza kuunguruma Jan 14, 2016. Kesi ya Mwambigija-Rungwe itaanza Jan 13, 2016.

Kesi za ubunge Mkoa wa Mbeya mahakama inakua haitoshi. Leo ilibidi watu waamuliwe kutoka nje kwa sababu ya kujaa sana.

ImageUploadedByJamiiForums1452198721.696161.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1452198761.764040.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1452198793.666347.jpg
 
ImageUploadedByJamiiForums1452199092.247169.jpg


Pichani ni wafuasi wa CCM wakiwa wanaondoka baada ya kuzuiwa kuingia kusikila kesi kwa kuwa walivaa nguo za CCM. Wafuasi hawa wa CCM walizuiwa getini na mlinzi na wengine kuondoka, wengine walibaki chini kusibiri.

Tunawashauri wapenzi na wafuasi wa vyama kuto kuvaa nguo za vyama vyao wanapo kuja kusikiliza hizi kesi; kwani majaji wamesema hawatavumiliwa na wataondolewa.
 
Siasa hadi Mahakamani, ndio maana mfumo wa utoaji haki nchini hauaminiki, tunapeleka ushabiki wa kisiasa hadi Mahakamani. Asante sana Jaji kwa kuzuia uvaaji wa sare za vyama vya siasa.

Vv
 
Back
Top Bottom