Kesi za ubunge mbeya kutajwa jumatatu, dec 28, 2015

Chadema Diaspora

JF-Expert Member
Oct 25, 2010
480
644
KESI ZA UCHAGUZI-UBUNGE MBEYA

Kesi tano zimeshalipiwa gharama "security for cost" na zitatajwa Jumatatu, Dec 28, 2015 Mahakama Kuu Mbeya.

KESI ZILIZO LIPIWA NA ZITATAJWA JUMATATU;

Kesi ya Mwambigija-Rungwe

Kesi ya Mkisi-Vwawa

Kesi ya Mwang'ombe- Mbarali.

Kesi ya Dr. Siame- Momba

Kesi ya Adam Zella- Mbeya Vijijini

KESI AMBAYO HAIJALIPIWA NA IMEFUTWA;

Kesi ya Mwamanyaki-Kyela mjini dhidi ya Dr. Mwakyembe imefutwa baada ya Mwamanyaki kushindwa kulipia gharama za kesi Tsh 3M.
 
tumekusikia bhana chadema diaspora. hiyo chadema diaspora yako unamaanisha umehama kutoka kilimanjaro kwenda mbeya?! nauliza tu!

KESI ZA UCHAGUZI-UBUNGE MBEYA

Kesi tano zimeshalipiwa gharama "security for cost" na zitatajwa Jumatatu, Dec 28, 2015 Mahakama Kuu Mbeya.

KESI ZILIZO LIPIWA NA ZITATAJWA JUMATATU;

Kesi ya Mwambigija-Rungwe

Kesi ya Mkisi-Vwawa

Kesi ya Mwang'ombe- Mbarali.

Kesi ya Dr. Siame- Momba

KESI AMBAYO HAIJALIPIWA NA IMEFUTWA;

Kesi ya Mwamanyaki-Kyela mjini dhidi ya Dr. Mwakyembe imefutwa baada ya Mwamanyaki kushindwa kulipia gharama za kesi Tsh 3M.
 
bora Mwamanyaki kasoma alama za nyakati hivi kwa Tanzania hii utamshindaje waziri wa sheria?????????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom