Search results

  1. Mzizi wa Mbuyu

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Kama alivyosema CDF kinamna, kuna taasisi inatuangusha sana nchi hii, iko bize isiku kucha kutafuta wazalendo wanaolalamikia ugumu wa maisha huku adui hlisi wakimwacha akizidi kujiimarisha.
  2. Mzizi wa Mbuyu

    Hivi mtoto wa mzee na wa kijana kibaiolɔjia wawezatofautiana?

    Vijana wenyewe hawa wa siku hizi, miili haina mazoezi, chips yai kila siku! Magimbi wanaita mawe...! Aendelea tu na kina mzee "Msekwa"![emoji1787][emoji23]
  3. Mzizi wa Mbuyu

    Kuna ulazima gani wa kusema tunamshukuru Rais Samia? Kwanini isiwe tunashukuru Serikali yetu?

    Jamani, wakati ule wakenya ndiyo walikuwa wamelala, ndiyo maana Mzee Kenyatta alijichukulia ardhi karibia yote ya Kenya ikawa yake binafsi na familia yake. Sasa jiulizeni nani alikuwa anaomgoza mizoga kama hapo kama mnavyofanywa leo
  4. Mzizi wa Mbuyu

    Tabora: Anayeidai TRA Milioni 986, Ramadhani Ntuzwe adaiwa 'kujiua kwa risasi'

    Ukute kuna watu waliosomeshwa kwa kodi za Watanzania, wanalipwa kwa kodi za Watanzania wamekaa chini wakaona hiyo ndiyo njia bora ya kutumia "taaluma yao" kuondokana na "tatizo" hilo. Hii ni laana kwa taifa
  5. Mzizi wa Mbuyu

    Je, utamkumbuka Hayati Ali Hassan Mwinyi kwa mambo gani?

    Ndugu zangu, nafsi yangu imenisukuma kuandika jambo wakati huu tunapoomboleza msiba wa rais wetu mstaafu "Mzee Ruksa" kama ifuatavyo;- Aliuza Loliondo kwa waarabu pamoja na kelele nyingi zilizopigwa. Alileta ada kwa vyuo vyote vya serikali IFM, Mzumbe, UDSM, n.k wakati wa Mwalimu vyuo vyote...
  6. Mzizi wa Mbuyu

    Pole Mstaafu Jakaya Kikwete

    Wakati ndiyo amefurahia sasa, kabaki peke yakee...watu wasiofikiri watamuona ndiye nguzo iliyobaki, wengine watamwita baba wa taifa! Ilhali ana agenda zake ovu anaziendeleza bila hofu sasa.
  7. Mzizi wa Mbuyu

    TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Aliuza Loliondo kwa waarabu, tulilalamika hakusikiliza akaishia kuuliwa mwandishi aliyeshikia bango kuuzwa kwa Loliondo bwana Stan Katabalo.
  8. Mzizi wa Mbuyu

    TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Huyu ndiye mwanzilishi wa ufisadi nchini na kuigeuza ikulu kuwa pango la walanguzi. RIP Mzee Ruksa
  9. Mzizi wa Mbuyu

    Je, ni kweli kuwa Rostam aligoma kumpa mkono wa Salamu Jakaya Kikwete?

    JK na Rostam lao moja. Hawatakaa watengane...ukiona kuna jambo kama hilo liketokea ujue limepangwa kuhadaa watu. Ni usanii
  10. Mzizi wa Mbuyu

    Ridhiwani Kikwete: Mifumo mitatu mipya ya utumishi itakavyosaidia kupima utendaji wa watumishi na kusaidia wananchi

    Sasa hapo vichekesho ni kwamba watumishi watajaza kwenye mifumo weeee lkn uteuzi watakuja kupewa kina Mwijaku na "wakimbizi" (kama alivyosema CDF)kwa kigezo cha uchawa!!
  11. Mzizi wa Mbuyu

    Hongera CDF umeona mbali. Leo wanavyosumbua Congo Mashariki, Kesho watasumbua Tanzania

    Wao wanaangalia mtu anayeisifu CCM na viongozi wake tu basi! Vetting imeisha. Mzalendo aliyewahi kulalamika kuoanda kwa sukari mtandaoni huyo anahesabika kama adui wa taifa!!! Sijui tutatokaje hapa!!
  12. Mzizi wa Mbuyu

    Arusha: Masheikh 6 wahukumiwa kunyongwa hadi kifo

    Hawa mashehe walikuwa wanafanya kazi ya shetani hapo...Unaanzaje hata kufikiri tu kutupa bomu kwenye nyumba iliyojaa watu wanaoabudu wanachokiamini!!
  13. Mzizi wa Mbuyu

    Agenda ya Mohamed Said ina ukakasi

    Ana chuki ya kishetani kabisa huyu babu.
  14. Mzizi wa Mbuyu

    Agenda ya Mohamed Said ina ukakasi

    Historia ya kweli ya Mwisilamu? Sikiliza wewe babu, wewe ni tapeli, wakala wa ibilisi unaelenga kugombanisha watanzania kwa kutukuza imani yako ya kuletewa na waarabu! Sisi wengine hatusubiri uje ufe ndiyo tuanze kukusema. Kama wewe unavyofanya. We ni mhaini kwa taifa letu
  15. Mzizi wa Mbuyu

    Agenda ya Mohamed Said ina ukakasi

    Mwingine huyu hapa na ubishi wa leta ushahidi kama kina Mazinge!! Bahati nzuri mko upande dhaifu, na mtaendelea nao hadi mwisho wenu
  16. Mzizi wa Mbuyu

    Agenda ya Mohamed Said ina ukakasi

    Ni babu tapeli wa kihistoria anachanganya uongo na ukweli ili kupotosha kwa msingi wa udini, mi huwa namwona mhalifu siku nyingi! Ni moja ya watu wanaogawa Watanzania wasiishi kwa kujiona wamoja!
Back
Top Bottom