Search results

  1. R

    Kwa wanaoishi/wanaojua Chanika

    Aha ha ha ha!!
  2. R

    Ambaka bibi yake wa miaka 77

    Hii inachangiwa na mabibi kuita wajukuu wake "mume wangu". Mjukuu kaona anaitwa mume bila ya kupewa mambos, kaamua kujikchukulia
  3. R

    Citizen Tanzania inatumika ni hatari kwa usalama wa Tanzania

    Siku Rwanda ya leo ikiwa mwanachama SADC utaiona mivutano hii mbuzi
  4. R

    Shyrose Bhanji akamatwa baada ya kupigana na Nderakindo Kessy jijini Nairobi

    Watanzania sijui tumelogwa!! Yaani Kagema anatuzidi akili namna hii? Angalau Geza Ulole anaelewa sababu haya matatizo yanayompata Shyrose. Wengine mnachangia msichokijua
  5. R

    Prof. Issa Shivji bado tunahitaji Tanganyika huru

    Hujui unalosema
  6. R

    Namshangaa Wassira kujiona anaweza jibishana ubavu na Warioba

    Bora umewakumbusha wasomaji hili. Shina nikuwa jamaa wa CDM hata hawajui historia ya juzijuzi. WARIOBA hamuwezi WASIRA, ndani na nje ya CCM
  7. R

    world's most dirtiest cities. 16 in Africa including dar es salaam

    Mimi nikuzaliwa Dar na kukulia. Ni lazima watu wote, vijana na wazee, Dar es Salaam NI CHAFU. Anzia Kongowe mpaka Kawe, Kibaha mpaka Chanika, Kote ni uchafu mtupu. Bila kujali Nairobi ni safi au chafu, nilazi tukubaliane Dar ni pachafu. Na sehemu kubwa ya uchafu unachingiwa na sehemu kubwa...
  8. R

    Tanzania, German sign pact for water, power provision in Senapa

    Mimi nikuzaliwa Dar na kukulia. Ni lazima watu wote, vijana na wazee, Dar es Salaam NI CHAFU. Anzia Kongowe mpaka Kawe, Kibaha mpaka Chanika, Kote ni uchafu mtupu. Bila kujali Nairobi ni safi au chafu, nilazi tukubaliane Dar ni pachafu. Na sehemu kubwa ya uchafu unachingiwa na sehemu kubwa...
  9. R

    TISS walibariki UJENZI wa GHOROFA linalotazama IKULU

    Nakubaliana na wewe kwa hiyo nyekundu. Kwanza kwa nini hatajwi? Unaweza kukuta ni mtu katibu mkuu fulana kwa kishirikiana na jamaa wa nje
  10. R

    Tujikumbushe Majina ya wabunge wa zamani

    Edward Lowasa Hakuna mbunge aliyekuwa anajua kutoa hoja kama Lowasa alipokuwa bado kijana
  11. R

    Pembe za ndovu ni biashara ya nani? Nini kifanyike kuwanusuru Tembo wetu?

    Mkuu naona umbali! Ninakubaliana na wewe huyo Mh Kangi Lugora anatumiwa na anashiriki katika ujangili huu. Ninakumbuka siku mmoja akiulize "nini muhimu, binadamu au wanyama?".
  12. R

    Pembe za ndovu ni biashara ya nani? Nini kifanyike kuwanusuru Tembo wetu?

    Mkuu ni kuulize Operation Uhai uliwalenga kina nani? Operation yoyote hatakiwi kuchagua, Dagaa wala nyangumi. Haya maneno ya dagaa, siyo papa yana lengo mmoja tu, kuivuruga hii operation ili mpate nafasi kuendela kuua wanyama
  13. R

    MS Kalashnikov: Female fighters in Congolese rebel groups

    Mkuu nakubali na wewe!! Kanali, Major, Captain, ...... Wote hawa katika JWTZ hakuna angekuwa zaidi ya Privite!! Inaonyesha jinsi hawamajangili walivyokuwa greedy!!
  14. R

    Nini asili ya jina Tanganyika na Nani alilitunga jina hili?

    Ukienda Congo DRC, kwenye pwani ya ziwa Tanganyika, wanatumia neno Tanganyika wakimaanisha ujio wa jua
  15. R

    Madiwani hawa wa CCM ni wanyarwanda

    Jenerali Ulimwengu!
  16. R

    Wananchi 200 wauawa nchini Misri asubuhi hii

    Acha kukurupuka, mbona us haijapeka majeshi Syria!!
  17. R

    Chadema njooni mchukue kadi yenu

    Vijana wa CDM kwa jaziba!
  18. R

    Nasema kwa mamaaaa

    aha aha ah ah ah ah ah ......
  19. R

    Nasema kwa mamaaaa

    aha ah aha ah aha ha
Back
Top Bottom