Search results

  1. Jerhy

    INAUZWA Nauza vifaa vya stationery tsh. 5M

    Anamaanisha hujaweka asking price for each item
  2. Jerhy

    TV4Sale Nauza TV kwa bei za store

    Nataka freezer je yapo Yale yanakuwa Na portion mbili ndani
  3. Jerhy

    Ni mara ya pili sasa nachapiwa

    Adhabu IPI inastahili kwa mwanamke msaliti kwenye ndoa, msaada tafadhali
  4. Jerhy

    Ninauza solar panel watt 200 pamoja na betri

    Kapicha basi. Tuwekeamo image
  5. Jerhy

    Ofa ya Connection ya Wachina wanaoshusha Mizigo ya jumla Kariakoo

    United ya Ferguson Tunakushukuru kwa namna ya pekee kufungua Uzi huu Wa connection za kibiashara, Naomba connection ya kupata bello za chupi za kike, boxer, soksi, magauni, duvets, shuka, vitenge kutoka kwa wachina. Natanguliza shukrani,
  6. Jerhy

    Sisimizi wamejaa kitandani gafla na sijui wametokea wapi. Hii ni ishara ya nini?

    Mwaga Powder kwenye vishimo vyao inasaidia kiasi, kwa wakazi Wa Dar ishu ya sisimizi sio kituo kigeni kukwea kitandani. Wanakimbia joto ardhini
  7. Jerhy

    PVC windows gharama zake ni kubwa mno

    Sorry je kwa sasa bado mzigo upo tena? Ukipatikana mwingine naomba unitag, nahitaji sana
  8. Jerhy

    Uzi maalumu wa kujua gharama za ujenzi wa majengo mbalimbali

    Ungweka mchoro wenye vipimo sasa, ili kupata makadrio sahihi
  9. Jerhy

    Ugonjwa wa madonda koo (Tonsels)

    Nakushauri haraka Sana tekeleza ushauri wa daktari, Mimi kijana wangu amefanyiwa operesheni pale Kairuki hospital Sasa Yuko vizuri, kumbuka Katika siku 1-7 chakula chake Ni ice cream baridi sana, juice baridi Sana, uji baridi na mtori baridi na baada ya 14 days Yuko vema. Sent from my TECNO F1...
  10. Jerhy

    Car4Sale Nauza gari Toyota Vitz

    Hello, Safari unayo ndefu Sana, ungeyaeleza hayo, mapema basi. Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
  11. Jerhy

    Nataka kuanza Biashara ya dagaa wa Mwanza, Dar es Salaam

    Je unawauzaje? Kwa ndoo, gunia, ni Aina gani ya hao dagaa
  12. Jerhy

    Jipatie bidhaa mbalimbali kupitia kwenye minada yetu moja kwa moja kutoka Japan

    Honda CR-V Rd1 Front cross shaft joint, Rear Shock up, Rear trailing arm bush,
  13. Jerhy

    Computer4Sale Computer CPU inauzwa kwa bei nzuri

    Money talks; naitamanije vile. Graphic Card ikoje specification zake mkuu, sorry.
  14. Jerhy

    Mkuranga: Tahadhari Simba Wawili Wameonekana Msitu Wa Vikindu

    Unafikiri zile goli 4 mchezo? Lazima vichaka vitikisike tu na mzee wa pori ahame mbuga!
Back
Top Bottom