Search results

  1. Lagoon

    Ndoa mashakani: Nina miaka 30, sina hamu na tendo la ndoa!

    Jf imearibiwa na wapumbavu kama wewe, hapa palikuwa ni sehemu yenye nidhamu na watu timamu mtu analeta tatizo seriously wewe unakuja na utumbo wako hapo. Poor you.
  2. Lagoon

    Kampuni bora za kutengeneza website Tanzania

    Waone hawa jamaa, www.index.co.tz wanatisha saana, sample ya kazi zao ziko hapo hapo kwenye website yao wana fanya hosting na design wenyewe, waaminifu na wana kupa support hata kama walisha kukabidhi site yako, namba zao ni 0715812160 au 0764452424
  3. Lagoon

    Ghafla siwezi kufanya mapenzi tena

    Kuna siku nikiwa kwenye sita kwa sita na mke wangu gafla nikawa kama nime teguka karibu na haja kubwa nikiwa na ejaculate hapo nikahisi maumivu ila baadae yakapotea nikaendelea na gemu kama kawaida. Yakaja tokea tena siku moja yakapoa nikaendelea, sasa juzi tena nikiwa na ejaculate ikatokea na...
  4. Lagoon

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo KILOSA - morogoro nije DAR es Salaam wilaya yoyote
  5. Lagoon

    mkwawa bado haifai kuitwa chuo

    wewe bado course work za mkwawa hazijakuchanganyia vizuri, zikikuchanganyia utaona vyote vipo sawa mkwawa ni pazuri sana sema bado mgeni kidogo .............
  6. Lagoon

    Majanga UDSM:Zaidi ya wanafunzi 500 wamedisco katika mwaka wa masomo 2012/13

    poleni sana waanga inauma sana ila ndo yameshatokea
  7. Lagoon

    Hali si shwari kihonda maghorofani

    nature ya degree inayotolewa hapo ina uhusiana nini na kichwa cha habari, kusoma 2meshindwa hata picha jaman nahc walidisco au hawana qualification that y wanaponda kiasi hicho, acheni hizo
Back
Top Bottom