Hali si shwari kihonda maghorofani

Geezzle

JF-Expert Member
Jul 25, 2012
849
267
Amani hakuna tena kwa wanasua wa khonda maghorofan,ni baada ya ugomvi uliotokea jana usku kat ya wanafunz wa2 na bodaboda mmoja!imebidi polis waje kulnda usalama kufuatia vtsho vya bodaboda wengi vilivoanza toka jana usiku,leo asubuh na masaa machache yalyopita.
 
Ina maana saivi ni vurugu sio? au hali ni tete tu? @ Geezzle

Amani hakuna tena kwa wanasua wa khonda maghorofan,ni baada ya ugomvi uliotokea jana usku kat ya wanafunz wa2 na bodaboda mmoja!imebidi polis waje kulnda usalama kufuatia vtsho vya bodaboda wengi vilivoanza toka jana usiku,leo asubuh na masaa machache yalyopita.
 
Asante yaya!kwann usiulze chanzo cha tatzo uelezwe!chanzo cha ugomv ni bodaboda m1 aliyelazmsha kupgana na wanafunz wawil licha ya kumsihi asifanye ivo na wanafunzi wenzie.Jamaa aliamua kufight nao lkn akazidiwa ikabd akimbie kwenda kuita wenzie akidai kapgwa na wanasua!
 
Daaaa hawa jamaaa na degree zao za maua mara mapishi kazi kweli ukiwakuta daaaa wamechoka kama vibabu vya kijijini vinavyoshindia ulanzi na komoni.hawa jamaa wa sua very rigid and conservative wacha wachapwe tu.mtoa maada ametupa trend of fighting sio source nhisi mazalau yao na umama lishe wao ndo chanzo tena ukiwakuta pale kivulin bar daaaaaaaaa utafikiri wanasubiri usafiri wa loli kumbe wanakunywa bia
 
Kumuombea m2 mabaya unapata faida gan bro?!kisa anasoma digrii ya mapsh,rigid na conservative?!ugomv ulmetokana na hao wawil kwa sabab zao ambazo hazihusian na uanafunz wao!kwan bro ulikuchukulia digrii yako KALI ulisoma na malaika wasio na dosari?.Naamin unaamn katka Mungu,ni kwel unamuombea mwenzio adhuriwe?!
 
Mkuu upo karibu na mimi nini maana ndo mitaa yangu hiyo kihonda maghorofani any way hatujui chanzo hasa nini ngoja nicheki
 
Daaaa hawa jamaaa na degree zao za maua mara mapishi kazi kweli ukiwakuta daaaa wamechoka kama vibabu vya kijijini vinavyoshindia ulanzi na komoni.hawa jamaa wa sua very rigid and conservative wacha wachapwe tu.mtoa maada ametupa trend of fighting sio source nhisi mazalau yao na umama lishe wao ndo chanzo tena ukiwakuta pale kivulin bar daaaaaaaaa utafikiri wanasubiri usafiri wa loli kumbe wanakunywa bia

Naona umepotea njia kijana!!!
 
Asubuh ya leo kutakuwa na kikao kat ya uongoz wa bodaboda na serikali ya wanafunzi,ili kutafuta suluhu ya kudumu!
 
Daaaa hawa jamaaa na degree zao za maua mara mapishi kazi kweli ukiwakuta daaaa wamechoka kama vibabu vya kijijini vinavyoshindia ulanzi na komoni.hawa jamaa wa sua very rigid and conservative wacha wachapwe tu.mtoa maada ametupa trend of fighting sio source nhisi mazalau yao na umama lishe wao ndo chanzo tena ukiwakuta pale kivulin bar daaaaaaaaa utafikiri wanasubiri usafiri wa loli kumbe wanakunywa bia

Ha ha ha haaaa!Duh!Mshikaji umeua ile mbaya, inaonekana unachuki binafsi na wana-SUA. Sasa hapo kwenye ugomvi kuna uhusiano gani na degree za mbogamboga na matunda na umamalishe?

Regardless ya market ya kozi wanazotoa lakini ni moja ya chuo bora zaidi cha kilimo kusini mwa jangwa la sahara na miaka ya 2005 to 2010 kama sikosei ndiyo kilikuwa chuo bora zaidi cha kilimo kwa ukanda wa kusini mwa jangwa la sahara sina uhakika kama ni mpaka sasa au la.

N.B Hongereni SUA na MUHAS kwa kuingia kwenye list ya vyuo vikuu 100 bora Africa bila kuisahau UDSM baba yao kwa kuzidi kupanda kileleni kwa mujibu wa mtandao wa 4icu.

Top 100 Universities in Africa | 2013 World University Ranking
 
Kumuombea m2 mabaya unapata faida gan bro?!kisa anasoma digrii ya mapsh,rigid na conservative?!ugomv ulmetokana na hao wawil kwa sabab zao ambazo hazihusian na uanafunz wao!kwan bro ulikuchukulia digrii yako KALI ulisoma na malaika wasio na dosari?.Naamin unaamn katka Mungu,ni kwel unamuombea mwenzio adhuriwe?!

Mkubwa, siungi mkono jamaa anavyoitukana degree ya SUA, lakini vie vie siungi mkono msomi kupigana na LY..... Nijuwavyo, shule zinatufanya tuweze kukontroo imoshensi zetu... hainiingii akilini kusikia eti mwanachuo kapigana na mtu wa boda boda regardless of the reasons za kufukia hapo. Mnatufanya tushindwe kutofautisha kati ya LY na degree (ya SUA in this case)...
 
Daaaa hawa jamaaa na degree zao za maua mara mapishi kazi kweli ukiwakuta daaaa wamechoka kama vibabu vya kijijini vinavyoshindia ulanzi na komoni.hawa jamaa wa sua very rigid and conservative wacha wachapwe tu.mtoa maada ametupa trend of fighting sio source nhisi mazalau yao na umama lishe wao ndo chanzo tena ukiwakuta pale kivulin bar daaaaaaaaa utafikiri wanasubiri usafiri wa loli kumbe wanakunywa bia
Inasikitisha sana kama na wewe ni miongoni mwa kundi la wasomi maana reasoning yako ipo chini sana unashindwa kujua kuwa ili maisha yasonge mbele kila taaluma inahitajika kwenye, inawezekana umekosa wataalam walishe ndio maana hata akili zako zimeshindwa kukua kwa kiwango kinachotakiwa. Kwa bahati mbaya Tanzania mpaka sasa ina Agricultural university moja tu, kwenye watu zaidi 40Milion nilidhani kwako iwe challenge
 
nature ya degree inayotolewa hapo ina uhusiana nini na kichwa cha habari, kusoma 2meshindwa hata picha jaman nahc walidisco au hawana qualification that y wanaponda kiasi hicho, acheni hizo
 
SUA hawa jamaa wanasoma kwa tabu mno na kazi hawapati, kuna malecturers hapo wapowapo tu kazi yao kula vichwa vya hao wanafunzi. Ni kweli wamechoka, washambaaa.....
 
Back
Top Bottom