Search results

  1. Mchizi

    Wanene tunapeta tu zama hizi

  2. Mchizi

    Professor w hisabati toka Lumumba

  3. Mchizi

    Calculator ya Tume VS Calculator ya Acacia

    Tume ya mchanga imetumia mobile phone calculator na Acacia wametumia casio scientific calculator.Haya ndiyo majibu yao
  4. Mchizi

    Hasheem Thabeet mbioni kurejea NBA

    Hasheem Thabeet huenda akaanza kuoneka tena kwenye ligi ya NBA baada ya timu kadhaa kuonyesha nia ya kumrejesha tena uwanjani.Hasheem ambaye alikuwa nje ya ligi ya NBA kwa misimu miwili ,aliaamua kuingia gym kwa muda huo wote ili kurejesha kiwango chake pamoja na kujiamini awapo uwanjani.Timu za...
  5. Mchizi

    Zika yaingia Africa

    The Zika virus which has infected more than 7,500 people in an island nation off the western coast of Africa is the same strain spreading through the Americas. Today, the World Health Organization confirmed the virus in Cape Verde is the same as the one behind an explosion of cases in the...
  6. Mchizi

    Tp mazembe vs cs sfaxien

    TP Mazembe Englebert vs Club Sportif Sfaxien Live Stream CAF Confederation Cup - Football Tp Mazembe kweli noma... samatta katupia la pili. CS SFAXIEM wanafia Lubumbashi .
  7. Mchizi

    Wagonjwa wetu wa TP Mazembe waiua ES Setif

    Wale wachezaji wetu samata na ulimwengu ambao walidai ni wagonjwa hivyo hawawezi kuichezea timu yetu yetu ya taifa dhidi ya The Gambia, leo wamedhihilisha hawakuwa wagonjwa ila walikuwa wanajianda na mechi muhimu ya CAF dhidi ya es setif ya Algeria pale walipotupia mabao matatu kati ya manne...
  8. Mchizi

    Wale Mwanza Sec tujikumbushe mawili matatu

    Wale waliopita miaka ya 90s Vipi mnaikumbuka ghuba na mambo yake? second master Mkono wapi siku hizi? Onyango hill bado ipo? tukumbushane kidogo enzi hizo.
Back
Top Bottom