Search results

  1. A

    Nini Kinawafanya vijana kuwa mashoga?

    Hivi zanzibar: pombe na ushoga kipi haramu kwao..maana nasikia hawataki kabisa kusikia pombe mpaka timu zao hawataki zivae nembo ya makampuni ya pombe inakuwaje hili la mashoga wameshindwa kulizibiti...
  2. A

    Nahitaji kujifunza namna ya kutengeneza Dynamic Website

    Asante kwa ushauri wako, lengo la kutaka kusoma ili niweze kutengeneza dynamic website naamini itakuwa rahisi ku-add pages,ku-modify, ku-delete pages,kukusanya information kutoka kwa wateja n.k
  3. A

    Nahitaji kujifunza namna ya kutengeneza Dynamic Website

    Asante sana mkuu..HTML nafahamu na ni basic ya PHP,ASp na mysql..Kuhusu content Management system kwa mfano Joomla nimesha jaribu kuzitumia lakini inafika sehemu na kwama...hivyo nitashukuru nikipata msaada..
  4. A

    Nahitaji kujifunza namna ya kutengeneza Dynamic Website

    Nahitaji kujifunza jinsi ya kutengeneza dynamic website lakini sijui chuo gani kina fundisha hapa Tanzania hata kama ni online.. Wana JF naomba msaada wenu
  5. A

    Mishahara ya wabunge, mawaziri na majaji juu!

    tukiamua tutafika, mbona uwezo tunao sisi wadaganyika tena bado miezi tu, jamani msisahau kununua picha ya Mh. ni 15,000 bila fremu lakini
  6. A

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Naona leo Live kaokota pochi...
  7. A

    ZAIN vipi tena Usumbufu huu?

    Pole sana mi kero yangu kwa zain ni huduma kwa wateja unaweza piga simu iliupate msaada hawapokei..
  8. A

    TV Tuner card drivers

    Mkuu haijaunganishwa na internet ila nimejaribu kuangalia kwenye chip zake nimeona imeadikwa hivi: conexant,fusion 878A,25878-13,0504y1d8,0504 sina uhakika sana kama inaweza kuwa ndiyo model yake.
  9. A

    TV Tuner card drivers

    Nashukuru sana, nimefanikiwa ila ninaombi lingine je unaweza kunisaidi kupata driver za Easy TV capture nimejaribu kuangalia model yake siioni.. asante sana
  10. A

    TV Tuner card drivers

    Nina External TV tuner card (pixelview model no.: pv-nt1004+) na nimepoteza cd ya drivers nimejaribu kupekua pekua kwenye mitandao nimekwama hivyo naomba msaana wenu wana JF....
  11. A

    Nani Zaidi: Mwanakijiji Vs John Mashaka

    Tukia anza kutafuta nani zaidi sijui kama itatusaidia....Cha msingi tuendeleze vita kupigania Taifa letu...
  12. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arsenal hakuna beki
  13. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Yametimia daaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  14. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    whooooooooooooooooooooooooooooooooo
  15. A

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Matokeo Liverpool 2 Arsenal 1..
  16. A

    Adventure Tours & Safaris

    SED Adventures Tours & Safaris, a unique East Africa tour operator offers Luxury Safaris and holidays in Africa. We specialize in tailor-made Wildlife Safaris to Africa, Eco-Tourism, Mountain Climbing, Beach Holidays, Car hire and Lodge Booking. We have pleasure advertising with JamiiForums.com...
Back
Top Bottom