Search results

  1. bukabwa

    Mpenzi wangu simuelewi, na nimekuta picha yake FB imewekwa na msichana

    :A S 100: Pokeas cm yake anapiga soon
  2. bukabwa

    Lipumba kutangaza nia inaleta mantiki gani

    Ninacho kijua ni kuwa kila member wa UKAWA wanafanya mchakato wao kama wao ndani ya chama chao. baada ya mchakato wa ndani kukamilika atakaye chaguliwa jina lake linapelekwa ndani ya kamati inayounda UKAWA kwa mchakato wa kupata jina moja litakalowakilisha UKAWA.
  3. bukabwa

    Mwigulu Nchemba avuliwa skafu na Spika!

    Uzalendo sio kuvaa bendera ya taifa muda wote,
  4. bukabwa

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Uyui msingi. Mimi kuja kibaha or temeke 0713264219
  5. bukabwa

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Mimi nipo uyui Msingi nataka kwenda kibaha or temeke.0713 264219
  6. bukabwa

    Mke mtarajiwa kaharibiwa

    Jina uumba jila lako matatizo ulitegemea nini katika maisha yako. Wengine wamekuambia eti anaumwa kama angelikuwa anaumwa angelikuambia. Pili wazungu ndio watumiaji wakuu tundu hilo. Kaka kama sio muumini wa tabia iyo kama mimi nakushauri achana nae hakuna mapenzi hapo. Wanakufa wazazi na...
  7. bukabwa

    Mpambe mpya wa rais

    Hata mimi nimecheka bila kutegemea!!!?
  8. bukabwa

    Waziri wa Fedha akiri kuwa serikali mbili ni mzigo kwa watanganyika.

    Hapa mwisho wa siku watanganyika ndo tutakuja kuonekana mazuzu.
  9. bukabwa

    Ugwadu ulivyoniaibisha.....au huu utakuwa ugojwa?

    Kawaida tu babu, sema tu hukuwa angle husika
  10. bukabwa

    Ndege ya Air Tanzania yaponea chupuchupu kuanguka

    Hata akizaa anazaa dume, airtanzania haiwezi kurudi, wenda PW wafilisike tanzania
  11. bukabwa

    Nimwambie au ninyamaze? Nimechanganyikiwa

    Kama ningelikuwa nilishamwambia siku nyingi. Ninacho amini ndugu yako anatagutiwa kifo baridi, Kikubwa ni wewe kuwa namihakika nq hilo ikiridhisha mwambie tu. kuolewa hakuondoi undugu wenu. Ni mtizamo tu
  12. bukabwa

    Rais Kikwete achagua Mabalozi wapya watatu (3)

    Mhu!!! Itabidi nibatizwe upya Augustine kikwete
  13. bukabwa

    Mh.Dr. Jakaya Mrisho Kikwete achaguliwa Kiongozi bora Afrika kwa mwaka 2013

    Mhu!!! Wewe ulitka tuzo iende kwa nani?. Ivi Bado hamjawai kuwaelewa hao watoa tuzo kwa viongozi wa afrika sio,?
  14. bukabwa

    Mbunge Jimbo la Bahi afikishwa kwa Katibu wa Bunge

    Hao ndo wabunge wetu.Na CCM yao
  15. bukabwa

    Hizi ni hoja zilizoibuka mara tu baada ya Kikwete kumaliza hotuba yake! Wewe una hoja gani?

    No comment. Tuna tatizo la kufanya mambo kwa kwa kurupuka. Kikwete alikurupuka kuanzisha mchakato huu. Hakujiandaa
  16. bukabwa

    Haya ndio Maneno ya Mwisho ya Baba wa Taifa Hili Mwalimu Nyerere Kuhusu Muungano!!

    Tehetehe!! Mkataa kwao mtumwa turudi kwetu Tanganyika. Mbona yeye amerudi kwao Butiama baada ya siku zake kuisha?.
  17. bukabwa

    Nauza Samsung Galaxy tablet 10.1

    Kugawa huwa unatoa kwa Moyo, sio kuambiwa.
  18. bukabwa

    Nauza Samsung Galaxy tablet 10.1

    Jina la majibu ya comment yako viko sawa.
Back
Top Bottom