Search results

  1. T

    Elections 2010 Watanzania tujitokeze kwa wingi tukapige kura oktoba 31

    Mengi yamesemwa wakati huu wa kampeni.Mengi yatasemwa wakati uliobakia kabla ya Oktoba 31..siku ya kupiga kura. Kila jitihada zimefanyika kwa ajili ya kushawishi wapiga kura wakatae mabadiliko..lakini hamna kilicho na nguvu kuliko nguvu ya umma.Nguvu ya umma ni kubwa kuliko nguvu ya...
  2. T

    Elections 2010 Slaa amtaka Shimbo kueleza zilikokwenda sh bil 155 za Meremeta

    MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willbroad Slaa ametoboa siri ya mahusiano ya karibu kati ya Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Abdulhaman Shimbo, na mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete...
  3. T

    Elections 2010 Daily News: Slaa will not be the fifth president of Tanzania!

    Huyu Ali Mkumbwa ni mjinga.Mhariri mwenye elimu na akili timamu hawezi kuongea pumba kama hizi.
  4. T

    Elections 2010 CHADEMA wambwaga MO Singida mjini!

    MGOMBEA wa CCM katika Jimbo la Singida Mjini, Mohamed Dewji ambaye alitangazwa kuwa mbunge mteule baada ya msimamizi wa uchaguzi wa jimbo hilo kukubali pingamizi lake dhidi ya wapinzani wake, amepata mpinzani kutoka Chadema baada ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), kutengua pingamizi hilo. Kwa...
  5. T

    Yule shabiki wenu aliyemkumbatia Kaka - yataka moyo!.

    Polisi jamii ni neno zuri ila utekelezaji wake hauna maana.Mtu anaingiliwa kwake na majambazi wanamjeruhi na kuiba kila kitu lakini bado unaongelea polisi jamii.Shame on you!
  6. T

    Dar airport to handle over 30 planes an hour

    Habari nilizozipata asubuhi hii ni kwamba Ndege ya ATC iliyokuwa ikitokea Dar kwenda Mwanza asubuhi hii imepata ajali wakati ikitua uwanja wa ndege wa Mwanza.Kutokana na mvua na maji yaliyojaa uwanjani,ndege imetua na kutoka kwenye runway na kuteleza hadi kwenye majani.Hakuna aliyejeruhiwa
  7. T

    Ikulu Afghanistan inavamiwa!

    Kabul, Afghanistan (CNN) -- At least two explosions and gunfire shook downtown Kabul on Monday morning, with the Taliban saying it was conducting a militant operation. The attack started as 14 members of Afghan President Hamid Karzai's Cabinet were to be sworn in, said Parliament member Fawzia...
  8. T

    Mzindakaya, Kimiti na Keenja watangaza kutogombea tena

    Prof.Sarungi naye akapumzike
  9. T

    Wizi Wa Parcels: Posta, EMS na Swissport unachefua

    EMS ni marehemu.Nilituma barua kwenda Bodi ya mikopo elimu ya juu.It took 3 weeks!
  10. T

    CCM London na viongozi wao

    Wana JF tunapoteza mwelekeo.Nimesoma kwa makini maoni ya wanachama mbalimbali na kuona kwamba wengine wanachangia tu bila hoja za msingi.Na sio vizuri kuchafua jina la mtu ambaye humfahamu. Kama tabia hii ya kuchafua watu bila kuwa na uhakika itaendelea ,basi bila shaka mtandao huu utapoteza...
  11. T

  12. T

  13. T

  14. T

    Nani zaidi!!!

    uzuri sio umbo ni tabia
  15. T

    Je tuhahitaji tena Ze Utamu?

    Kitendo cha ze utamu kumchafua kiongozi wa nchi hakikubaliki.kwa mara ya kwanza nimeangalia web hiyo baada ya kuambiwa na rafiki zangu.ni upuuzi usiokubalika na nadhani ni wakati muafaka watanzania tukatae udhalilishaji huu. Nina imani state resources zitatafuta namna ya kukomesha upuuzi huu.
  16. T

    Wale wa Kibaha Sec School tujikumbushe

    Mzee Mpalaza wa Elimu ya Kujitegemea!Mainoya!du mmenikumbusha mbali!
  17. T

    Wale wa Kibaha Sec School tujikumbushe

    Wale CBA mnamsahau MUTA!Jamaa alikuwa mnoko naturally
  18. T

    Comoro yatamani Muungano na Tanzania

    Itatusaidia sana kuwa taifa lenye nguvu.Na negativity ya kuungana kwa nchi za kiafrika itapungua.Other countries will learn from us.titafute kura ya maoni ..ila ni jambo zuri kuungana.
Back
Top Bottom