Search results

  1. O

    Mo & METL out, tuachie Simba yetu

    Sidhani kama shida ni MO, Nadhani ni nmna usajili wa simba ulivyo na mgao wa madaraka kwa mujibu wa katiba na miongozo ya simba. Kuna ngazi nyingi za maamuzi yanayotoa mianya mingi kuidhibiti timu. Hata ungekuwa MO, kwa usajili wa Simba ulivyo autonomy ya timu ndogo kwa MO. Watu wanatumia...
  2. O

    Tabora: Anayeidai TRA Milioni 986, Ramadhani Ntuzwe adaiwa 'kujiua kwa risasi'

    Nadhani wewe hukijui kisasi Cha Mungu, haki ya mtu haipotei mtalipa tena kwa machozi. Hadi uje ujue kwanini unaumia kilio kitakuwa chako tutosha. Ombi tu Mungu aturehemu na iwe kifochake isiwe sababu za kibiashara.
  3. O

    Wafuatao, wanaweza kuvivaa viatu vya Magufuli na vikawaenea

    Jiwe walilolikataa waashii....
  4. O

    Mrejesho safari yangu ya kwenda kulima mkoa wa Katavi - Wilaya ya Tanganyika, kijiji cha Mwese 4

    MWesee, lwega, lugonrsi, kabatini, katuma, center maria, kapangaa
  5. O

    Tanzania, Kenya na Uganda Kuwa Mwenyeji wa CHAN 2024

    Nimevutiwa jinsi citizens walivyoandika hii Habari, sijui Kama waandishi wa Habari wa Tanzania TFF na wizara Husika mmejiandaa kuibrandi TZ kupitia fursa hii. Vinginevyo ngoma itasikika zaidi kwa jirani yako.
  6. O

    Wananchi wa tanzania wanampenda na kumuamini sana Rais samia, mataifa duniani yanamkubali mno

    Ila ujue na ukumbuke wakikupenda sanaaa, ujue unawatumikia vyemaaaa na unatimiza ndoto zao.
  7. O

    Tusipoangalia kanda ya ziwa itatuletea tyranny of the majority

    Unahoja ila ni kwa baade kama hawatachufuliwa lugha!
  8. O

    Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?

    Pascal Naamini wewe ni Mkristo na umesoma biblia, unajua vyema kazi walizofanya manabii kwa kusaidia jamiii kuishi vizuri na pia unafaham namna mitume na manabii kama akina elisha, elia walivyofanya kazi na watawala enzi hizo kwa maani waliwatia moyo watawala kupigana vita ilipobidi na pia...
  9. O

    Waziri Bashe anajisikiaje baada Rais kupiga marufuku chakula kuuzwa nje ya nchi? Ni busara akaachia ngazi

    Bashe ni shujaa wa kupigiwa mfano, hukijui kilimo ndiyo maana unaongea hivyo, Mkulima wa Tanzania anahangaika sana kuwalisha wanaostarehe mjini halafu wanataka wapewe bure, ingia shambani ukalime mazao yako uone kama utarudi tena. Wazo la Bashe ni wazo la kimapinduzi huwezi kulima kama hupati...
  10. O

    Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

    kwa watu wa rohoni ni alama ya nguvu na ushindi, kisasi na mabishano na alama ya kushindwa na udhaifu wa nafsi
  11. O

    Askofu wa KKKT Dkt. Alex Malasusa atangaza kumsamehe Mchungaji Kimaro

    Kwa mwenyehekima kuomba msamaha hata kama huna kosa ni kujishusha, jambo ambalo MUngu hupenda. Kuomba msamaha ni kutafuta roho ya mapatano kwa maana hata kama una haki kujikweza hakuleti upendo wa Mungu maana unyenyekevu ni jawabu la roho. Utii ni bora kuliko dhabihu
  12. O

    IDF Jeshi bora kabisa duniani na MOSSAD idara bora zaidi ya ujasusi duniani!

    nadhani nakuelewa vizuri sana, wangekuwa tu na uwezo wa kiuchumi kama marekani au china au urusi wangekuwa hatari sana, na kipato kinawanyima fursa kadhaa za kutumia akili zao zaidi. Binafsi naona pia ni jambo jema huenda wengejiona sana, na huenda usalama wa majirani zao ungekuwa shakani zaidi...
  13. O

    Majibu ya Dkt. William baada ya Azam kukanusha juisi zao za Azam Embe hazina sumu

    What happens when you mix sodium benzoate and ascorbic acid? Another problem occurs when sodium benzoate is used in beverages that also contain ascorbic acid (vitamin C) or erythorbic acid (also known as d-ascorbic acid). The two substances, in an acidic solution, can react together to form...
  14. O

    Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)

    Unapata wapi jjeuri hiyo ya kupinga agizo la MUNGU, wewe nani hata uharibu uumbaji wa Mungu aliagiza mtu na awe na mke wake, unadhani kuacha ndiyo kutatua tatizo?,Kwahiyo unapendekeza waziliane watoto watalelewa na mitaa au majalaa?
  15. O

    Mwananchi wa kawaida hawezi kusema 'bila Katiba Mpya hakuna uchaguzi 2025', hilo ni takwa la Wanasiasa

    Huyo unayemsema kuwa ni mwanachi, hata uchaguzi usipofanyika hawezi kudai, wanaoamua ni uchaguzi uwepo ni haohao wanasiasa
  16. O

    Je, kuchora tatoo ni dhambi au si dhambi kwa Wakristo?

    unamaanisha nini kusema kienyeji?
  17. O

    Je, kuchora tatoo ni dhambi au si dhambi kwa Wakristo?

    Msile nyama yoyote yenye damu. Msipige bao wala kufanya uchawi. 27 Nywele zenu msizikate pembeni wala kunyoa ndevu zenu. 28Msijitie alama zozote mwilini mwenu kwa ajili ya kuomboleza au kujikatakata mwilini au kujichanja chale. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.( walawi 19.27)
  18. O

    Chadema mwisho wenu ulikuwa ni pale mlipoanza kuugeuza ushetani kuwa umalaika

    hofuu ya nini, si utulie tuuu. yajayo yanafurahisaha
Back
Top Bottom