Search results

  1. G

    Press conference: Lowassa apelekewa ujumbe mzito

    Hawa magamba wana akiili kweli?? Kwani hawa hawajui kuwa huyo Lowassa hatokuja kwa wananchi kumpigia kura hadi wao wenyewe wamuidhinishe? Hii ni ishara ya kuomba msaada wa wananchi kwavile wao wenyewe hawana ubavu wa kuzuia? Chama kinachojinasibu kufanyahivi ni kuanika udhaifu wao.
  2. G

    Mwigulu Nchemba, kunani!

    Mwambie hadi leo tarehe 06/09 sijapokea mshahara wa july na august 2014.
  3. G

    Chadema Waishukuru Polisi

    Credibility ya kitu gani? tuchanganulie basi. Kwani si kila mtu ana haki ya kueleza maoni yake humu?
  4. G

    South Sudan - World's Newest Country

    [U]A TIMETABLE OF EVENTS IN NORTH- SOUTH SUDAN [/U1947;Leaders of Souther Sudan's tribes meet in Juba and decided to unite with the North with application of federal rule system of government. 1954; Members of constituent Assembly (Parliament from both northen and southern Sudan agree on the...
  5. G

    Mabadiliko ya 10 ya Katiba ya Zanzibar, 1984: Kipi Hasa Kilichobadilika?

    Ni Kenya walio na katiba mpya sio Zanzibar. Katiba ya Zanzibar ilitiwa kiraka juzi juzi hapa.
  6. G

    Chanzo cha ukahaba na uzinzi

    Wacha hasira isio na sababu! Hapa halikusemwa kanisa wala ukiristo bali wale watendao uchafuzi wa pahala pa ibada. Hilo la unafiki lipo kila pahala lakini kwa sasa tunaangalia pahala pa ibada na matendo machafu hapo. Huu unafiki upo hata kwa wapenzi wetu mbali ya imani za dini!
  7. G

    Elections 2010 Shein bila viatu Ofisini, ipoje?

    Angalia wenziwe(jaji Mkuu na Mrajisi Mkuu) wao pia hawana viatu. Shein kwa siku hiyo hakuvaa viatu vya buti vinavyomfanya avae soksi. As simple as that!
  8. G

    Elections 2010 Kama Kikwete amefanya yaliyo mema kwa miaka 5 iliyopita Gharama zooote za nini

    Umesema kweli kabisa kuwa hao kina Slaa na Lipumba hawajulikani na watu! Hawajawahi kuwa Marais wa kuamuwa kipi kifanywe na kipi kisifanywe. Bora ungejibu hilo suwala tu kuliko kuwafananisha Slaa na Lipumba kwa nafasi ya kutenda aliyonayo JK. Hivyo baada ya mazuri yote aliyofanya JK ipo...
  9. G

    Elections 2010 Friends of Dr.Slaa FOD kuhakikisha Slaa anaingia ikulu hatari tupu........

    Wangojee Kibano cha wenye hatimiliki Serikali (CCM).
  10. G

    Elections 2010 Mjue mgombea mwenza wa CHADEMA

    Tatizo liko wapi kwani hao madokta wameshatufanyia nini? Angalau anajuwa Kingereza atakuwa kiungo mzuri katika shirikisho la Afrika Mashariki kwani hivyo ni kitu adimu hata kwa magraduates wetu!
  11. G

    Chanzo cha ukahaba na uzinzi

    Ni kweli kila mtu atauchukua mzigo wake lakini sio kweli kuwa wazazi hawatolipwa kwa uzembe wa kutowaelekeza watoto wao maadili na sio kweli kuwa wachungaji hawatokuwa na fungu kwa kutofanyakazi zao za kuwaongoza waumini. Angalau umekubali kuwa Waislamu hawafanyi watakavyo wakiwa msikitini na...
  12. G

    Wafalme wanapotowa funzo kwa viongozi wa kuchaguliwa

    Amiri wa Mji mmoja wa Saudi Arabia ambae ni wa ukoo wa kifalme (prince) amesema atawakatia maji na umeme wakuu wa mashirika hayo mawili ili waelewe adha wanazopata wananchi kwa kukatiwa umeme na kukoseshwa maji. Pengine viongozi wetu tunaowachaguwa kwa kura wangekuwa na moyo wa kuwajali...
  13. G

    Rais Kikwete: Ama uamue Kusuka au Kunyoa

    REV Heko kwako kwa uzalendo! Lakini huu mzigo tulionao sasa isingefaa kuutwisha kwa Kikwete peke yake bali kwetu sote Watanzania! Nitowe mfano wa Grecce sasa ilivyo kuwa unafanana na yanayotaka kutokea Tanzania. Watanzania tayari tumeshajizoesha maisha ya hali ya juu na hakuna hata mmoja...
  14. G

    Elections 2010 UVCCM kwafukuta

    Unamaanisha kuwa hata CHADEMA na CUFna vyenginewe wakifanya uchaguzi Usalama wa Taifa unapitia kuthibitisha sifa za waombaji?. Kwa mujibu wa Masauni jina lake lilifanyiwa uchunguzi na vyombo vya usalama wa Taifa na hivyo Mnyika kwa mfano itabidi jina lake liwasilishwe Usalama wa Taifa ili...
  15. G

    Elections 2010 UVCCM kwafukuta

    Wajamani hili la vyombo vya Usalama vina wajibu gani katika hili la mchakato wa Uchaguzi wa UVVCCM?
  16. G

    Nataka kuungwa mkono kampeni ya kuundwa serikali ya tanganyika kwenye muungano!

    Watanzania wenzangu nimekuwa nikitafakari sana jinsi Muungano wetu usivyo na USAWA kati ya washiriki wawili wa Muungano huu. Kuna mambo mengi yasioleta usawa katika Muungano huu na mojawapo ni kupewa upendeleo sehemu moja kuwa na Serikali inayojitegemea na upande mwengine kunyimwa BARAKA...
  17. G

    Aliyeaga kwenda misa ya kwanza Kristo Mfalme akutwa akizini

    Unasahau wanaoiba sadaka za Kanisa na tende na nyama za misikiti?
  18. G

    Jee hii inaweza kuwa moja ya sababu ya kundi fulani kuwa mbele kitaaluma?

    Wanafunzi sita, mwalimu wanaswa kughushi vyeti Send to a friend Sunday, 16 May 2010 21:20 0 diggs digg Mkinga Mkinga WATAHINIWA sita wa mtihani wa ualimu Daraja A, wamekamatwa kwa tuhuma za kughushi vyeti vya kidato cha nne na huenda wakapandishwa kizimbani leo. Uchunguzi...
  19. G

    Kuendelea kutumia jina la obama

    Christians lose the battle for Sarah Obama’s soul Share Bookmark Print Email Email this article to a friend Friend's Email Address Your Email Message Submit Cancel Rating The Kenyan relatives of US President Barack Obama (from right), Norah Otieno, Consolata...
  20. G

    Kamishina wa uhamiaji Z'bar adaiwa 'mweupe'

    Jee mmelifikisha wapi Taifa kwa hayo madarasa matupu? Elimu ingekuwa ya manufaa kama mwananchi angekuwa anagomboka lakini elimu ya kujitia kwenye siasa na NGO za kuomba misada. Tunahitaji elimu ya kweli lakini hadi saasa tusiwabeze waliotufikisha angalau hapa.
Back
Top Bottom