Search results

  1. mbuguni

    Tatizo la Mtoto wangu kushindwa kutembea

    Wakuu habari za saa hizi, Nina Mtoto Mwenye umri wa miaka 4 ghafla tu amepoteza uwezo wa kutembea alianza kuugua homa then nikampeleka katika kitua cha afya akapewa dawa na kupona lakini baada ya siku tatu alianza kushindwa kusimama na kushindwa kutembea. Nilimpeleka tena Hosptal kwa vipimo...
  2. mbuguni

    Makarani wakuandikisha wapiga kura ni makada wa ccm?

    Nimeshangazwa sana na hili ccm wanalolifanya na sijui faida zake! Katika kata ya mbuguni kata mpya ya Shambarai Bruka mtendaji mtendji Amiri hakubandika tangazo la nafasi za kazi kutoka halmashauri ila wao wamefanya kuwapigia wafuasi wa ccm walosoma form four simu ili walete barua na...
  3. mbuguni

    Utalii: wonders of creation yapata mkataba mnono

    Kampuni ya uongozaji wageni hapa nchini ya wonders of creation iliyoko mkoani Arusha nchini Tanzania,imepata udhamini wa nchini marekani wa kuleta wageni wake 15000 kila mwaka kwa kupitia hii kampuni. Kufuatia msemaji mkuu wa hiyo kampuni amesema tayari kampuni...
  4. mbuguni

    kwa anayewajua wadada wakimatengo

    Eti ni kweli hawajatulia?. Naomba mawazo yenu
  5. mbuguni

    Ndoto yangu ya kuwawakilisha wanaMbinga Mashariki inazidi kushika kasi

    Binafsi nimejipanga vilivyo kushika kijiti cha ubunge 2015,vipaumbele vyangu ni kama 1,Elimu,,,kuakikisha kunakuwepo na high school.2,kuboresha zao la kahawa kwa lengo la kuwanufaisha wakulima ambao kwa sasa wamekata tamaa na hilo zao,hivyo kupelekea baadhi ya wakulima kulitupa kisogoa...
  6. mbuguni

    Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini Mh.Felix Mrema yuko wapi?

    Huyo jamaa alimnunua Lema mwaka fulani baada ya Lema kushinda kupitia tiketi ya TLP .
  7. mbuguni

    Hatimaye wananchi wa kata ya mbuguni wavamia shamba la paradipu{mwekezaji kampuni ya karangai sugar}

    Wananchi wa vijiji vya msitu wa mbogo na shambarai katika kata ya Mbuguni wavamia Shamba la Iliyokuwa kampuni ya Karangai sugar na kuanza kugawana na ni baada ya kuambiwa kuwa limefutiwa liz but diwani wa ccm aita polisi kuwatanya kabisa na kuanza kuwadanganya.
  8. mbuguni

    Nimependa maelezo ya Peter Msigwa BBC muda huu

    Msigwa kweli ni mwanasiasa mwenye utashi wa hali ya juu, jioni yaani muda huu amehojiwa na BBC na kuituhumu serikali ya CCM kuwa ndio majangili wa tembo wetu na pia kasema alivyowataja wanaojihusisha na biashara ya tembo bungeni baadhi ya mawaziri walisimama bungeni kuwatetea majangili hao...
  9. mbuguni

    ITV na Radio One yatenda haki kwenye malumbano ya hoja leo

    Hoja ilikuwa ni TOZO ZA LAIN ZA SIMU na walikuwepo huko ni studioni ni mnyika, na mwakilishi wa chama cha cuf pamoja na wachangiaji wengne ambao wote kwa pamoja wamenifurahisha sana manake hoja imejadiliwa kwa uzuri sana na walio laumiwa ni wabunge wasema ndiooooo... Bungeni bila yakujali...
  10. mbuguni

    Natafuta mke age 18-25 na awe mlokole

    Kama bandiko langu lilivyo hapo juu nipo serious natafuta mke na awe tayari kupima HIV. Elimu awe level yeyote. Mwenye sifa hizo anipm ili nimpe contact.
  11. mbuguni

    HAllow

    hody watanzania wote, naomba mnikaniribishe nami nimeingia jamvini.
Back
Top Bottom