Tatizo la Mtoto wangu kushindwa kutembea

mbuguni

JF-Expert Member
May 15, 2013
570
250
Wakuu habari za saa hizi,

Nina Mtoto Mwenye umri wa miaka 4 ghafla tu amepoteza uwezo wa kutembea alianza kuugua homa then nikampeleka katika kitua cha afya akapewa dawa na kupona lakini baada ya siku tatu alianza kushindwa kusimama na kushindwa kutembea.

Nilimpeleka tena Hosptal kwa vipimo zaidi lakini hawakuona shida baadaye waka imagine kuwa ana ugonjwa ujulikanao kama Guillain barre syndrome.

Naombeni Madaktari hapa mnishauri namna yakufanya maana bado anatumia dawa moja tu iitwayo neuroton tu anameza kimoja kwa siku lakini ni wiki 3 sasa hatembei.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Gily

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
1,115
2,000
Mie nakushauri umpeleke hospital zaidi ya moja upate second opinions. Ila inategemea na mwili wa mtu, wengine huwahi kupona na wengine huugua mda mrefu.

Mungu ambariki mtoto wako apate kupona, mweke sana katika sala na pole sana kwa matatizo yaliyokukuta. .
 

mbuguni

JF-Expert Member
May 15, 2013
570
250
Thanks
Mie nakushauri umpeleke hospital zaidi ya moja upate second opinions. Ila inategemea na mwili wa mtu, wengine huwahi kupona na wengine huugua mda mrefu. Mungu ambariki mtoto wako apate kupona, mweke sana katika sala na pole sana kwa matatizo yaliyokukuta. .

Sent using Jamii Forums mobile app
 

thx

Member
May 18, 2016
30
95
Kuna virutubisho vya watoto huwa vinasaidia sana VITA BUDDY na Dr COW kwa mawasiliano zaidi 0620321041/0673758230
 

Hornet

JF-Expert Member
Apr 29, 2013
21,323
2,000
Wahi CCBRT please.
kuna Dada mlemavu wa miguu anasema alipoteza uwezo wa kutembea akiwa na miaka minne kama utani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom