Search results

  1. dazenp

    Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

    Asante kwa Taarifa mkuu sitaki hizi latest labda C8 mkuu budget yangu ndogo kiasi
  2. dazenp

    Brand New smartphones Kwa Bei nzuri

    Natafuta Tecno C7 Veron ni bei gani
  3. dazenp

    Barabara kukatwa na wakandarasi halafu hawazitengenezi hakuna Sheria au Muda maalum

    Ningependa kujua kweli hakuna Sheria inayoweza kuwabana hawa wakandarasi wetu jamani tunaharibu magari yaani kwanini wakate vipande vya barabara halafu hawafanyi marekebisho eneo la njia Ya Mbezi kawe kupita kipande cha kwa Warioba
  4. dazenp

    Mabomu yanarushwa angani Tegeta/Mbweni-Dar es Salaam

    Mie pia nimeshtuka usingizini
  5. dazenp

    Arusha Coders Meetup

    Yes kinfo it's me for sure
  6. dazenp

    Arusha Coders Meetup

    Will be there
  7. dazenp

    Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Hivi hawa wazee wanaelewa chochote hapa maana nahisi kama amekuja kutuambia tulilolisikia Bunge la Jamhuri mwezi wa Novemba 2014. Tupe maamuzi yako sio porojo na sarakasi zisizo kuwa na maana yeyote half of what your saying alishasema Pinda na Muhongo bungeni
  8. dazenp

    Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Haya Raisi ndio anaingia ukumbi wa Diamond Jubilee...................
  9. dazenp

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Kura kwingine tulipiga hivi na ndoo inahesabika.........leo naona Matokeo yetu yamebadilishwa kuwa CCM imeshinda
  10. dazenp

    Hatimaye utoaji wa leseni mpya za clearing and fowarding watangazwa

    Sasa Kasheshe hata kusoma hujui??? 4) Directors of previously licensed companies whose licenses were revoked in the last five years should not have any stake in the company; 5) Directors of already licensed companies should not have any stake in the company; Idea yako ya kujiunga ulisoma...
  11. dazenp

    Serikali yakanusha kuhusu ndege ya rais wa China kubeba Pembe za ndovu na kusema ni uongo

    Kwanini watanzania tunakuwa wabishi hivi na ukweli uko wazi jamani??? yaani kuna watanzania wanadiriki kusema its a propaganda kwa lipi hasa wazungu walitake kwenu si muende kwenye hii link moja kwa moja muone wachina waishio nchini wakikiri wazi wazi kuwa wanapitishia mzigo zanzibar na kwanini...
  12. dazenp

    Ndege ya Qatar C17 iliyosafirisha twiga ilipata kibali

    Picha za ndege hiyo hii hapa nakumbuka nilikuwa natua nikajiuliza mbona hii ndege ya kivita iko hapa kulikoni? ila kulikuwa na malori makubwa tuu yapo nayo niliyaona na kulikuwa na usalama mkubwa sana Kilimanjaro International Airport siku hiyo ndege hii ni U.A.E Air Force
  13. dazenp

    Government Ban Job Recruitment Agencies!

    Tuwe wakweli how much do you guys earn kupitia migongo ya vijana waliosoma kupitia shida kibao kuweka miguu ndani ya ndoo,halafu shirika kubwa kama MABENKI yetu yanawapatia 2mil unampatia mtu 800 hulipi benefits zozote, wala mkataba hauko open kumjenga mfanyakazi,as long nyie mnavuna hela za...
  14. dazenp

    iPad mini mpya inauzwa

    Nimeku pm mkuuu
  15. dazenp

    Je Unaijua Historia Ya Ndege Ya Taifa --- Tulikotoka na Tulipo

    Hizi ni Picha za Ndege ya Taifa iliyokuwa inambeba Mh.Raisi wa Jamhuri Ya Tanzania kutoka enzi hizo tukiwa na Fokker tukaendelea kuwa na Foker hapo baadae tukaipa jina 5H - CCM na baadae ikaitwa 5H-ONE. Jeshi la Marekani wanazo pia kwa ajili ya viongozi wao kwa kwenda nchi zingine. Ndege 5H-ONE...
  16. dazenp

    kwa watumiaji wa tab ya blackberry, playbook

    Playbook ilitengenezwa kwa mazingira yote kaka imagine unadhani why did they put the BB bridge the knew kuna mazingira hayo ya mtu kutokuwa na WIFI na mie kusave gharama kuwa na line mbili mbili sijui hii ya modem, sijui hii ya tab na hii ya simu. its simple ni kibridge na sim yangu ya BB its...
  17. dazenp

    kwa watumiaji wa tab ya blackberry, playbook

    Kaka sijui kama bado utasoma hii post yako but i am a super user wa BB playbook and i'm in love with the product currently wameleta version OS 2.0.1.0688 ambayo inawezesha simu yako kufanya mambo mengi zaidi compare to IPAD's and SAMSUNG Galaxy Tab zinaweka line za simu ila sie tunabridge na...
  18. dazenp

    Hotuba ya Rais Kikwete 30.6.2012

    Katika Hotuba ya Mheshimiwa Raisi nimeona hii kama tungo tata au sentensi changanya inasema " Hapo tulipofikia si pabaya na tulikubaliana sote kurudi kwenye mkondo wa Sheria kusaidiwa. Kwa nini Serikali imdhuru Dkt. Ulimboka? Na, kuhusu mgomo, Mahakama Kuu imekwishatoa amri ya kusitisha mgomo...
  19. dazenp

    Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

    Latest Pictures of Dr. Ulimboka.......................Get Well Soon Brother
  20. dazenp

    Nimefanyiwa vitendo vya uonevu na askari wa osterbay,naomba msaada

    Man hukugangamala aisee mie nilikuwa nimepakai gari yangu nakula mihogo niko mie na mpenzi wangu na mshikaji wangu sasa tukawa tumekaa tunapiga story....mara mshikaji akatoka akaenda kuchukua mihogo mingine mie nimebaki front seat na wangu yuko back seat...tumekaa tunakula story gari zilizokuwa...
Back
Top Bottom