Ningependa kujua kweli hakuna Sheria inayoweza kuwabana hawa wakandarasi wetu jamani tunaharibu magari yaani kwanini wakate vipande vya barabara halafu hawafanyi marekebisho
eneo la njia Ya Mbezi kawe kupita kipande cha kwa Warioba
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.