Search results

  1. Himidini

    Wanawake washika dini ni bora zaidi katika maisha ya ndoa kuliko wasioshika dini

    Sababu zifuatazo zinatetea hoja hiyo; 1. Moja ya tofauti kubwa sana kati ya mwanaume na mwanamke katika dini, ni kuwa Mwanamke humwona Mungu kama mtu anaemwamini, humwelekea Mungu kwa moyo wake wote na hufurahia sana kuadhimisha sikukuu za kidini na familia yake, tofauti na Mwanaume ambae...
  2. Himidini

    Mtoto na Baba wanapoumwa ugonjwa mmoja, hatuhitaji mtabiri

    Ana miaka 30 kwa sasa, ni kijana mtanashati na mwenye bidii ya kazi. Nilikuwa na ahadi ya kukutana nae kwa shughuli fulani, mkoa mmojawapo hapa nchini. Wakati tunajadiliana nae kuhusu yale yaliyotukutanisha nae, alifika Mzee wa miaka 60 hivii, Mzee yule aliingilia maongezi yetu na kuanza...
  3. Himidini

    Happy Birthday nameless girl

    ^^ Tarehe kama ya leo uliingia duniani. Sina mengi ya kusema nikutakie Maisha Mema katika kutimiza uliopangiwa hapa duniani. Happy birthday Dear Friend IN LIFE IN SCHOOL IN FOOD DON'T FORGET IN LOVE ^^
  4. Himidini

    Ukienda kwa jirani kuomba chumvi, sema kwanza shida yako ndo maongezi mengine yaendelee

    Ni kawaida sana kwa mwanamke kutosema awapo na hisia za kumpenda mwanaume! Si kosa lake, ni malezi hapana, ni mazoea hapana, ni utamaduni hapana, ni dini, hapana, ni hulka si hakika, ni silika pengine, ni nini hasa? Mtu unalia, unaugulia maumivu! OK ni hofu ya kukataliwa! Kukataliwa ni aibu...
  5. Himidini

    Ugomvi katika mahusiano ni afya

    Ukimuuliza binti yeyote akutajie mambo 10 asiyopenda kusikia au kuyaona katika ndoa yake, mojawapo litakuwa ni ugomvi. Ugomvi unaumiza, kiakili na kimwili. Ugomvi si ustaarabu, zaidi sana ugomvi si haki !! Kuna ugomvi wa hoja, kuna ugomvi wa ngumi mbili tatu mambo yawe sawa, kuna ugomvi wa...
  6. Himidini

    Kumkubali kwa hiari

    Kumkubali mtu, inaweza kuelezwa ni kumpokea, kumheshimu, Kumkaribisha, Kumpa nafasi pengine sawa sawa na yako. Kumkubali rafiki au mwenza ni tendo linalotegemewa kuwa la hiari, sio la lazima. Katika mahusiano mengi yawe ya kirafiki, kiuchumba, au katika kazi, unapompata mtu, bado ni mgeni...
  7. Himidini

    Get well soon Nameless girl

    ^^ Wana jf na MMU members, mwanachama mwenzetu nameless girl anaumwa. Kwa sasa yupo nyumbani bado hajisikii vizuri. Taarifa hii ni kwa mujibu wake mwenyewe. Get well soon best !!! Lets pray for her ^^
  8. Himidini

    Hata wanawake wanaharakati wa usawa, hujisikia vibaya wawapo na mwanaume wa hali hii

    ^^ Tangu zama za kale, mwanaume amekuwa kiongozi wa mahusiano yawe ya kirafiki, kimapenzi au katika ndoa. Kuna jamii mpaka leo ambazo mwanaume anapoonekana kuyumbishwa katika mahusiano humkalia kitako na kumpa somo juu ya mahusiano na kuwa kiongozi imara. Changamoto ya ndoa au mahusiano ya...
  9. Himidini

    Yes, am yours but Love is not possessive !!

    ^^ Ni kawaida sana katika mapenzi kusikia kauli kwamba "we ni wangu".. mpenzi wangu... mke wangu.. Mume wangu na mengineyo mengi yanayosaidia kukua kwa mahusiano, kuyafanya yalete maana na muungano mzuri. Utajisikaje kuishi na mtu ambae mnaitana wapenzi lakini kwenye kamusi yake maneno hayo...
  10. Himidini

    Mahudhurio katika nyumba za Ibada, ni sifa ya kupata Mwenza wa ndoa?

    ^^ Wahenga wanao usemi usemao "Kumcha Mungu si kilemba cheupe" Wakiwa na maana kuwa haitoshi kwa mwanadamu kujionesha onesha tu kwa watu kwamba ye ni mcha Mungu bali matendo yake yatosha kabisa kubainishwa kuwa anafaa kuigwa na jamii. Waendao kuabudu katika nyumba maalum zinzotambuliwa kisheria...
  11. Himidini

    Hata wanawake wapenda pesa wana kiu ya hitaji hili

    Nimewahi kukutana na tajiri mkubwa sana akilalamika kuwa mkewe hana furaha. Akasema amempa kila kitu kuliko anavyotegemea! Amemjengea nyumba ya kifahari, amemnunulia magari, yeye si mlevi, aliapa kuwa mwaminifu kwa mkewe, lakini yote haya hayakufungua furaha ya mkewe! Ukizungumza kwenye simu na...
  12. Himidini

    Mwanaume hufikiria kufanya mapenzi kila masaa 48

    Umewahi kusikia kauli hizi? " Mume wangu hatosheki kitandani.." "..Sidhani kufanya mapenzi ndio liwe jambo la msingi lakini huyu mwanaume kaa! Basi tu kila siku mpaka kero.." Bila shaka ni kilio cha wanawake wachache walioamua kusema. Hivi kweli ni mara ngapi au kiasi gani tuseme inatosha? Je...
  13. Himidini

    Kukaribishwa na Kuaga vizuri- Wanaume tunaweza kubadilika kiasi?

    Kuingia ndani kwa mtu bila kukaribishwa, unamjengea hisia kuwa amevamiwa! Amenyimwa uhuru wake au vinginevyo. Hali hiyo huwakuta wanawake katika tendo la ndoa! Wengi wamesikika wakilaumu au kutoridhika namna wanaume wanavyopungukiwa uvumilivu wa kungoja. Wanawavamia tu! Au wanavagaa pasipo...
  14. Himidini

    Online relationships don't run faster than your legs !

    Mapinduzi makubwa ya teknolojia yamerahisisha mambo mengi sana. Moja ya taasisi inayopokea chungu na tamu ya kupanuka kwa mawasiliano ni ndoa. Mahusiano ya kimapenzi kupitia mitandao yanakua kasi, yanakutanisha marafiki, ndugu, waliopoteana na kuibua mahusiano mapya, ambayo kweli yamesaidia...
  15. Himidini

    Hukukosea Kuoa, Umekosea namna ya kufikiri !!

    ^^ Umekosea kuoa? Hilo ni swali nilomuuliza rafiki yangu kipenzi sana. Alinifuata kwa maongezi ya kawaida. Maongezi yenye upendo,furaha, amani na urafiki. Wepesi wangu wa kumjua rafiki yangu ndio ulizua mengi. Hakuwa na furaha! Ni kana kwamba alijilazimisha kusema! Hata hivyo hakuwa msemaji...
  16. Himidini

    "Chagua umpendae" uhuru unaoacha maumivu kuliko mfumo wa kuchaguliwa

    ^^ Ni kawaida kwa kila mmoja wetu kumtafuta anaempenda. Maana kuingia katika mahusiano bila moyo wako kuridhia kuna gharama zake. Mapokeo ya wazee wetu yanasema zamani vijana walilazimishwa kuoa au kuolewa na wasio chaguo lao. Na mara nyingi mf. Binti akikataa atapelekwa kwa minyororo au...
  17. Himidini

    Imani za wazazi juu ya watoto wao

    ^^ Mshauri wa masuala ya ndoa na malezi Bi. Jennifer James aliwahi kusema kuwa "....Nusu ya kwanza ya maisha yetu huharibiwa na wazazi na nusu inayobaki huharibiwa na watoto wetu...." Ni kauli nzito kuielewa ikiwa hukuwahi kufikiria juu ya ugumu wa malezi ya watoto. Wazazi na walezi kote...
  18. Himidini

    Kusuluhisha ugomvi wa wanandoa..heri ukimbize upepo utaimarisha afya yako!

    ^^ Kama kuna taasisi ina waigizaji wazuri basi ndoa ni mojawapo! Kuna wakati wananuniana tu, wanatazamana kama watani wa jadi, na kuwashana vibao vya hapa na pale ilimradi tu maigizo ya maisha ya ndoa yalete maana! .. Wakati fulani niliwahi kuugua ndani kwangu! Sikuwa na msaada, siku mbili...
  19. Himidini

    Tangu siku hiyo Meno ya mwanamke na mpira sina hamu navyo!

    ^^ Ilikuwa desemba kama hii, tarehe sikumbuki kwa kweli! Ni miaka mingi sana imepita, tena sana. Nakumbuka nilikuwa maarufu kijijini kwetu! Kujulikana kwangu kulichangiwa na mengi, lakini kubwa ni mpira wa miguu! .. Nilikuwa mchezaji mzuri wa mpira wa miguu. Namba yangu ya uchezaji ilikuwa ni...
  20. Himidini

    Epuka kuingia katika mahusiano ya ndoa kwa sababu hizi

    ^^ Furaha ya maisha ya ndoa haiji kwa bahati, ni matokeo ya juhudi umakini na kushirikisha imani uliyonayo.Katika mambo unayopaswa kuyaepuka unapotaka kuruhusu maisha ya ndoa ni haya yafuatayo .... KULIPIZA KISASI JUU YA MAHUSIANO YALIYOVUNJIKA Kuna watu wana hulka ya kutokubali...
Back
Top Bottom