Search results

  1. Shishye

    Mapendekezo ya muundo wa baraza la mawaziri - 2010-2015

    Na bado ana uteuzi wa failures wengine 7 ambao atawakweza uwaziri juu kwa juu. Msishangae kumsikia Masha, Batilda,.... wakiendelea kuwa mawaziri.
  2. Shishye

    Elections 2010 Kura yangu siri yangu yako je?

    Kura yangu ni siri isipokuwa kwa mgombea mmoja tu..... hili liko wazi wala sio siri tena. 1. Silali usingizi wa kutosha maana lazima nidamke usiku usiku kutokana na foleni. 2. Nikiugua sina matumaini ya kupona maana huduma za afya ni duni kuliko mfano 3. Elimu ya watoto wangu ni shida shule za...
  3. Shishye

    Elections 2010 Kiyabo "arejea" CCM

    Hii ni conclusion tosha kwamba sio kila chama cha upizani ni cha upinzani kiukweli ukweli! Vingine ni mapandikizi kwa ajili ya kuharibu au kubadilisha hali ya hewa. Hakuna mtu anayeweza kuwa na utaahira kiasi hicho.... come on! Hii ni mbinu ya 'wale jamaa' wanajua wanachokifanya. Kiyabo? Infact...
  4. Shishye

    Pweza wa Kichina Kugundua kama Mwenza anacheat

    Hata bila pweza wa kichina, naturally unatakiwa kujua tu kwa kutumia pweza wako mwenyewe. Mbona ule wimbo siku hizi 'famous' unasema umelala doro... ukichunguza kidogo tu utabaibi. By the way, supu ya pweza ni dawa nzuri sana ya matatizo kama haya. Hakikisha unainywa kila siku uone kama...
  5. Shishye

    Ujenzi wa Miradi hii Bagamoyo ni wa Lazima Kiasi Hiki?

    La kupendelea kwao silioni kama ni la msingi sana, kwani hiyo miradi itawafaidisha vipi locals wa hiyo sehemu? Ninavyowafahamu watahama watasogea porini zaidi na kutuachia 'wakuja' kupambana na hizo nafasi. Cha msingi ni kama huo uwekezaji umefuata taratibu na kama una tija kwa taifa. Haijalishi...
  6. Shishye

    Taswira ya Watanzania: Tujisafisheje?

    Jirani yetu Mkenya anavyotushangaa. Jamani tutaendelea na matendo haya hadi lini?
  7. Shishye

    Duh! Kumbe Brazil imelipwa kuja kucheza Bongo!

    Nashangaa wafadhili bado wanaichangia bajeti ya Tanzania na huku tuna mahela kibao ya kuchezea. Kwa nini wasijiondoe 100% ili akili zetu zianze kufanya kazi sawasawa??
  8. Shishye

    Mrema wa TANROADS Kikaangoni

    Watu wa Tanzania - wakiongozwa na rais wao Kikwete ndio wanaotumia madaraka yao vibaya. Naona hapo kwenye nyekundu unataka kutuanzishia ubaguzi hapa, tafadhali usiende huko.
  9. Shishye

    Mrema wa TANROADS Kikaangoni

    Kama kuna tuhuma za uongo kwenye gazeti, aliyetuhumiwa na asimame atueleze ukweli. Kama PCCB wanasemewa na magazeti isivyo kweli na wakakaa kimya basi wameridhia. Ukweli wa tuhuma ni swala lingine, ila linalotukera zaidi ni ukweli usiopingika kuwa kuna utamaduni unaowaruhusu wenye mamlaka...
  10. Shishye

    Nafasi kibao za kazi - Tigo

    Angalizo: Hawa jamaa hawafikirii mara mbili wakijisikia kutimuana.... management yao inabadilika badilika mara kwa mara na kila inapoingia mpya inaunda timu yao ya watu wapya. Kama uko kwenye kazi yako ya uhakika jua unachukua risk kubwa kujiunga nao. Usiogope, ila jua hilo.
  11. Shishye

    Mrema wa TANROADS Kikaangoni

    Huu ni utumbo mtupu, yale yale mambo ya kitanzania ya kilofa. Kuna mantiki gani kumngoja mtu achezee raslimali za nchi na madaraka aliyokabidhiwa kwa muda woooote mpaka mwisho wa mkataba ndio ujifanye unamhoji? Hakuna lolote la maana hapo. Mtu anapokosea awajibishwe hapo hapo badala ya kungoja...
  12. Shishye

    Uchaguzi 2010: Zitto, Mbatia wajitosa Ubunge!

    Historia tu? CCM katapila tu? Subiri kwanza tuone hao wapinzani kama wataupata huo ubunge. Itapendeza kuona hiyo historia ya ukatapila wa CCM ikiwa na wabunge wachache kuliko upinzani bungeni. Hapo ndio JK atapojipongeza kwa mvinyo sawasawa.
  13. Shishye

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Hivi ni mahakama ileile iliyomwachia huru yule polisi aliyeamuru wafanya biashara wa madini kuuawa kwa jina la majambazi? Au ni ileile ambayo kwa miaka mitano sasa haijamhukumu hata mmoja wa wale waliokula mabilioni ya EPA? Nikumbushe pliz.
  14. Shishye

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Hii nchi inatawaliwa na itikadi ya kijambazi, kifisadi. Yeyote atayekwenda kinyume na itikadi hii lazima ashughulikiwe - anapingana na dola. Ndio maana kiongozi kama wa kanda maalum haogopi kutamka mbele ya umma maneno ya uongo wa wazi anayojua fika hayana uthibitisho na asiogope wakuu wake...
  15. Shishye

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Hiyo call detail haitasaidia unless iwe na content ya hayo mazungumzo, ambayo sidhani kama kampuni ya simu inayo. Inawezekana huyo bw. mawenge akawa kweli ndiye aliyempigia na wakazungumza. Hiyo sio ishu maana hata mimi nikikupigia sasa hivi japo huijui namba yangu utapokea na tutaongea. Nikidai...
  16. Shishye

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Tulikuwa tunawajua polisi informally kuwa ndio viongozi wa mambo yote machafu hapa nchini kama kubambikia kesi, ujambazi, mauaji, uonevu, ukandamizaji na unyimaji wa haki za binadamu za kila aina. Kwa hili la Jerry wameamua kutangazia umma rasmi bila kificho. Wasiwasi wangu kwa Jerry ni zaidi...
  17. Shishye

    Ports' modernisation master plan ready

    Hivi waziri wa miundo mbinu bado yuko hai?? I get sick every time I hit the dar roads going anywhere! Ninaumia sana jinsi masaa mengi yanavyopotea kwenye foleni mabarabarani na hakuna hata mwenye mamlaka mmoja anayetaka kujihusisha na ufumbuzi wa tatizo hili. Nilifikiri ni moja ya majukumu ya...
  18. Shishye

    Sitta: Waziri Simba kalikoroga

    "Sitta amelazimika kutoa ufafanuzi huo kufuatia taarifa kwamba kulikuwa na msuguano mkali kati ya Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na ile ya Katiba, Sheria na Utawala." Tuna haki kama wananchi kupata clarifictions za haya mambo directly kutoka kwa spika. Mimi sijaona kama ni...
  19. Shishye

    Sitta: Waziri Simba kalikoroga

    Usichanganye masomo ndugu. Anyway haya nakubali yaishe. Nashukuru kunikumbusha kuwa alipewa uwaziri baada ya uenyekiti wa UWT na sio vice versa! Haya sawa.
  20. Shishye

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Shida ni kwamba hizo unazoita 'hard facts' - zote zinafikirika. Hakuna evidence yoyote. Mwandishi wa habari kukutwa na picha sio hoja, na sio lazima aeleze undani wa picha hizo hasa kama kazi yake ni investigative journalist. Mbona polisi wanashinda vijiweni na majambazi sugu tena wanakula nao...
Back
Top Bottom