Search results

  1. Hollyreath

    Appendix/Kidole tumbo

    Habari wadau, Naomba kujua ni kipimo gani kinafanywa kugundua tatizo la appendix/kidole tumbo. Na gharama yake. Gharama za upasuaji Na hospital ipi ni nzuri kwa mkoa wa Arusha kutibiwa tatizo hilo
  2. Hollyreath

    Naomba kwa anaejua hii ajira tafadhari

    nimeelekezwa wapendwa. hii kitu ni utapeli . don't try it. sababu nimekuwa nikiikuta kila mahala kwenye social networks. muwe na siku njema
  3. Hollyreath

    Naomba kwa anaejua hii ajira tafadhari

    mi sio kijana. ningekuwa najua nisingeuliza.
  4. Hollyreath

    Naomba kwa anaejua hii ajira tafadhari

    mi nimeuliza ili nifahamishwe sababu kila wakati nakutana nayo. . we unajibu bila kufikilia.Kama uelewi kaa kimya. sio lazima uchangie kila kinachotumwa. tumia akili..watakuja wanaofahamu au kujua watanielewesha.
  5. Hollyreath

    Naomba kwa anaejua hii ajira tafadhari

    salaam kwenu ndugu. naomba kwa anaefahamu hii ajira hapa anijulishe kama ni kweli. http://jamiiforums.com/?ref=136135
  6. Hollyreath

    Msaada wa kuflash HTC DESIRE 820 dual sim

    mkuu tusaidie hapo. utajuaje kama ni original au fake
  7. Hollyreath

    Anamtafuta baba yake mzazi Joseph Zachalia Kabuche

    kwa yeyote anaenfahamu msaada tafadhali
  8. Hollyreath

    Anamtafuta baba yake mzazi Joseph Zachalia Kabuche

    anaitwa Joseph Zakaria Kabuche?
  9. Hollyreath

    Naweza kupata mkopo wa laki 5 kwa kuweka vyeti vyangu kama Security?

    mkuu si vinatofauti..lakin hakiwezi kufanana na original
  10. Hollyreath

    Anamtafuta baba yake mzazi Joseph Zachalia Kabuche

    nimepata taarifa za kuongezea mtoto huyo wa mtajwa hapo juu yani rafiki yangu..alizaliwa mara generally hospital. mama yake alikuwa nesi wa kambi ya ustawi wa jamii musoma. mama yake alikuwa muhaya
  11. Hollyreath

    Anamtafuta baba yake mzazi Joseph Zachalia Kabuche

    labda kama anaweza kuwa ndugu yake. jaribu kumuulizia
  12. Hollyreath

    Anamtafuta baba yake mzazi Joseph Zachalia Kabuche

    soma vizuri kabla ya kujibu
  13. Hollyreath

    Anamtafuta baba yake mzazi Joseph Zachalia Kabuche

    nashukuru kwa majibu mazuri. kwa yeyote atakaepata mtu anaemjua tafadhali asisite kuni pm.
  14. Hollyreath

    Anamtafuta baba yake mzazi Joseph Zachalia Kabuche

    Habari wadau, Nina rafiki yangu wa karibu sana,umri miaka 23 ni binti.Anamtafuta Baba yake mzazi aitwae Joseph Zacharia Kabuche. Kwa mujibu wa taarifa alizopata kutoka kwa walezi wake ni kuwa baba yake huyo alikuwa mwenyeji wa mkoa wa Mara kabila alikuwa Mjita. Mama wa huyo rafiki yangu...
  15. Hollyreath

    HTC desires haishiki network

    nimezima nimewasha. nimei restart but tatizo lipohapo hapo
  16. Hollyreath

    HTC desires haishiki network

    habari wadau. simu yangu ghafla tu imekata network. pale kwenye network bar imeweka alama ya x. nimejaribu kusearch network inaniambia. error in searching network .. msaada tafadhali
Back
Top Bottom